simuelewi mwenzangu..

.....kama kweli unampenda (kiukweli) utamuelewa.

BTW, unasema unataka sex kwa maana 'kuingiza'.... je? Akipata ujauzito bado utampenda yeye na mwanae katika dhiki na faraja, uzima na ugonjwa, mpaka kifo kiwatenganishe?
 
...kwa hiyo wewe shida yako k tu?

Mwache mtoto wa watu atapata mwengine....

Halafu alokwambia hapa kuna majungu nani?..........
 
I can't do that

hawa Viumbe Wanatutesa Kweli!...Nami Nilikuwa Naye Kama Huyo(Full Romantic) Eti Akawa Ananishusha Kwa Nyeto!
Kwani Mna Malengo Yoyote Ktk Mahusiano Yenu?
 
hapo kwenye red hapo....mh hizi bikra leo ndo siku yake nini?thread ya pili hii leo about bikra...ile ya kumzalisha na hii sasa...mnazipenda eeh wakuu?
 
Nyau wewe ukishalala nae unamuoa au una mtupa aanze kumpa kila anayekuja maelezo kuwa yeye si bikira while thats her pride,**** off u r the wrong guy for that girl,
 
sijawahi kusikia mtoto wa kike aseme eti ni Bikira, Kuna uwongo, wengi huwa hawasemi unaikuta automatically.
 
Unatakiwa kupata time kuongea openly na mwenzio huenda kuna kingine zaidi ya yeye kukataa,uwazi ni kitu cha msingi ktk kujenga mahusiano bora na imara.Usikimbilie kubreak up, kwa vile sio solution ya kila kitu!!!!!!
 
nashukuru kwa ushauri, nitaongea Naye zaidi
 
Nyau wewe ukishalala nae unamuoa au una mtupa aanze kumpa kila anayekuja maelezo kuwa yeye si bikira while thats her pride,**** off u r the wrong guy for that girl,
if ts her pride then let her learn how to keep it,
u *** watch your fingers 
 
ka yupo mmoja humu ani-pm, age btn(18-25), sihitaji longolongo

akuPM ili upate pa kuchomeka c ndio, itakua mwanzo mwisho akisema utamwambia uliniPM mwenyewe jf
 
Kweli natamani cku zirudi nyuma nizaliwe kizazi cha BBC(Born before computer),yaani nowadays msichana akitetea bikra yake ishakua kesi kwenye mahusiano mbona wazee wenu waliweza kuwavumilia wenzao hadi wakaoa, hebu jifunzeni , yaliyo mazuri muige c kila cha zamani kimepitwa na wakati,...........
mnanitia hasira nyie vijana wa dot com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…