Simuelewi mwanaume huyu

Simuelewi mwanaume huyu

Habarini za leo wana Jukwaa hili. nipo hapa leo munishauri ndugu zangu, mimi ni mdada wa miaka 33 niliolewaga zamani ila ndoa ikaota mabawa miaka 6 iliopita. lakini pamoja na hayo bado nina hamu sana ya kuolewa cause naona mara ya kwanza hata sikuinjoy maisha ya ndoa.

sasa naomba ushauri wenu kuna mwanaume nimekutana nae kama miezi sita hivi imepita, ni mtu mzima miaka 38 yeye hajaoa bado, so anataka tuoane baada ya kufahamiana vizuri lakini kinachonichosha ni kwamba tangu nijuane nae kila siku analia shida, anasema hana hela ananiambia matatizo yake kila kukicha na kuniomba hela mara hana ela ya kula, mara umeme umeisha nimnunulie luku nk. mwanzo nilijua ni kusaidiana tu labda anapitia kipindi kigumu kifedha, lakini imekuwa ni zoezi endelevu, wakati yeye anafanya kazi na mimi nafanya kazi.

Amekuwa ni mtu wa kulalamika kwamba kazi anayofanya haina maslahi nk. sasa kwa kweli nachoka sana nashindwa kuelewa hii tabia yake, hela anapeleka wapi? na kama hatujaoana tu ndio hivi ikifika ndani si ndio itakkuwa balaa wakati mimi natagemea tusaidiane maisha badala yake imekuwa mimi ndio wa kumsaidia yeye kila siku. kashakula hela zangu nyingi wakati mimi sijawahi kumuomba hela yoyote ile. nahisi kama nimemchoka jamani, naomba ushauri wenu.

Sihitaji wale wenye lugha chafu za kejeli, nipo serious jamani nahitaji ushauri wenu.

Asante
Usimchoke bhana huyo ni wako ...we muhudumie tuu..maana najaribu kui imagine angekua n. Mvulana a nakuja kusema kuwa demu wake anamlilia shidah ..weng wangesema ni jukumu LA mvulana...Leo kwavile n mvulana ndo anashida ww unaona keroo....mvumilie ...huyo ni wako ...ase....
 
Wanaume wa Dar acheni hizo,siyo issue kabisa!......kumkondesha dada yangu mpendwa kwa kumpiga mizinga ndo nini??
 
Duuh!!! Aiseee wakati wanawake when zako wanapiga mizinga wewe unapigwa mizinga..
_*pole sana mwanamke mwenzangu...aiseee kwa jinsi nilivyo mwanaume wa namna hiyo simuwezi
 
Mkuki kwa nguruwe mchungu binadamu mtamuee....na mjue nijinsigani na ss wanaume tunachokaga kupigwa vizingaa...ndo muelewe ivyo
 
Hahahahahahahahaha

Hadi aibu

Kama sijanunua uhai ya lita muja tukaishia kushare

Nani anataka mario

Hahaha
Mie nanunua ya nusu lita alafu napiga tarumbeta huku tunapiga story tu.
 
Kuwa makini huyo anataka kukufuja si kingono tu bali na kifedha kwakuwa ameshajua udhaifu wako wa kuwa mhitaji wa ndoa. Na isitoshe kama hujafanya uchunguzi mzuri unaweza kukuta ana mke na watoto.
 
Wanaume tupigeni kaz Jaman, Kulia kwa mwanamke kla cku co Tabia Nzur.
 
Habarini za leo wana Jukwaa hili. nipo hapa leo munishauri ndugu zangu, mimi ni mdada wa miaka 33 niliolewaga zamani ila ndoa ikaota mabawa miaka 6 iliopita. lakini pamoja na hayo bado nina hamu sana ya kuolewa cause naona mara ya kwanza hata sikuinjoy maisha ya ndoa.

sasa naomba ushauri wenu kuna mwanaume nimekutana nae kama miezi sita hivi imepita, ni mtu mzima miaka 38 yeye hajaoa bado, so anataka tuoane baada ya kufahamiana vizuri lakini kinachonichosha ni kwamba tangu nijuane nae kila siku analia shida, anasema hana hela ananiambia matatizo yake kila kukicha na kuniomba hela mara hana ela ya kula, mara umeme umeisha nimnunulie luku nk. mwanzo nilijua ni kusaidiana tu labda anapitia kipindi kigumu kifedha, lakini imekuwa ni zoezi endelevu, wakati yeye anafanya kazi na mimi nafanya kazi.

Amekuwa ni mtu wa kulalamika kwamba kazi anayofanya haina maslahi nk. sasa kwa kweli nachoka sana nashindwa kuelewa hii tabia yake, hela anapeleka wapi? na kama hatujaoana tu ndio hivi ikifika ndani si ndio itakkuwa balaa wakati mimi natagemea tusaidiane maisha badala yake imekuwa mimi ndio wa kumsaidia yeye kila siku. kashakula hela zangu nyingi wakati mimi sijawahi kumuomba hela yoyote ile. nahisi kama nimemchoka jamani, naomba ushauri wenu.

Sihitaji wale wenye lugha chafu za kejeli, nipo serious jamani nahitaji ushauri wenu.

Asante
1.Yaani miezi miwili iliyopita uliomba ushauri kwamba umepewa mimba na mume wa MTU.

2.Miezi kadhaa iliyopita ulipost ukitafuta marafiki Singida.

3.Miezi miwili tena unatuambia kuna mwanaume unaye miezi 6 imepita anakuomba pesa.

Hivi unafikiri JF ni mahali pa kuleta utoto huo ulionao.

Ebu leteni issues ambazo ni za maana na zenye tija kwa jamii kuliko hivi vitu vya kijinga ambavyo ni too personal.

Hivi hujui kwamba hicho kichwa ulichopewa ni kwa ajili ya kufikiria na kufanya maamuzi katika maisha yako mkuu..

MWISHO;

Mambo ya mahusiano huwa yanatatiliwa na watu waliopo katika mahusiano yenyewe.

Yaani una miaka 33 halafu unashindwa kufanya maamuzi katika mahusiano yenye wahusika wawili na wewe ukiwa ni mmoja wao...???

Hivi utaweza kuwa mshauri wa familia yenye watoto watano kweli..???

1475507303738.jpg
 
Huyo hakufai bhana,mwanaume gani wa kulialia mda ina akikuoa utakua na kazi ya kumbembeleza yeye na mtoto?
 
Hiyo inaitwa kupatwa kwa ndoa , kimbia haraka mwayego nini cha kukunyonya hadi damu? hiyo hela si heri utunze wanao au ndoa ya kwanza haikuwa na matunda?
 
Mtu akila samaki sio stori samaki akila mtu inakuwa stori kubwa!!, mwanamme akimsaidia mwanamke sio stori mwanamke akimsaidia mwanamme ni stori kubwa!!msaidie tu kuwa na miaka 38 sio mwisho wa matatizo.
 
Ingekuwa miaka 2 anakuomba tungesema sawa lakini miezi 6 tu endelea kumsaidia mtu akiyumba kiuchumi inachukua mda kurudi kawaida....!!
 
Back
Top Bottom