Simuelewi mwanaume huyu

Simuelewi mwanaume huyu

Huyu jamaa mchunguze in deep kwani kuna uwezekano akawa na familia nyingine believe or not.
 
Its simple: umeona km umemchoka tayar, usiingie kwenye ndoa.
Mark these words, im tellin you!
 
Habarini za leo wana Jukwaa hili. nipo hapa leo munishauri ndugu zangu, mimi ni mdada wa miaka 33 niliolewaga zamani ila ndoa ikaota mabawa miaka 6 iliopita. lakini pamoja na hayo bado nina hamu sana ya kuolewa cause naona mara ya kwanza hata sikuinjoy maisha ya ndoa. sasa naomba ushauri wenu kuna mwanaume nimekutana nae kama miezi sita hivi imepita, ni mtu mzima miaka 38 yeye hajaoa bado, so anataka tuoane baada ya kufahamiana vizuri lakini kinachonichosha ni kwamba tangu nijuane nae kila siku analia shida, anasema hana hela ananiambia matatizo yake kila kukicha na kuniomba hela mara hana ela ya kula, mara umeme umeisha nimnunulie luku nk. mwanzo nilijua ni kusaidiana tu labda anapitia kipindi kigumu kifedha, lakini imekuwa ni zoezi endelevu, wakati yeye anafanya kazi na mimi nafanya kazi. amekuwa ni mtu wa kulalamika kwamba kazi anayofanya haina maslahi nk. sasa kwa kweli nachoka sana nashindwa kuelewa hii tabia yake, hela anapeleka wapi? na kama hatujaoana tu ndio hivi ikifika ndani si ndio itakkuwa balaa wakati mimi natagemea tusaidiane maisha badala yake imekuwa mimi ndio wa kumsaidia yeye kila siku. kashakula hela zangu nyingi wakati mimi sijawahi kumuomba hela yoyote ile. nahisi kama nimemchoka jamani, naomba ushauri wenu. sihitaji wale wenye lugha chafu za kejeli, nipo serious jamani nahitaji ushauri wenu. Asante
Dadangu hayo matatizo kwa wanaume tunayo kila siku na hatulalamiki na ukilalamika una ambiwa wewe ni bahili na hufai kuwa na mahusiano.
Ushauri kaa nae na ongea nae ujue hatma ya safari yako.
 
Kuna wanaume mario vibaya mno...

Out atakutoa yeye ila bili utalipa weee (hawachelewi kujifanya wamesahau card ya benki)

si bora basi akudanganyie na kusahau kadi ya benki utajipa moyo labda atakurudishia... bila aibu atakwambia mi hapa sina hata mia... toa basi 😉😉😉
 
Kua Makin katika mahusiano Kuna kusaidiana ila huyo naona kakufanya kitega uchumi, na pengine kwa kua anajua inashida ya ndoa ndio mana anakufanya kitega uchumi jaribu kuwachunguza isije kua Ana mke tayar afu pia kama ulishaumia katika ndoa ya kwanza jaribu kuchunguza kabla yakuanza mahusiano ucje pata pasua kichwa Tena, kwa huyo hakuna mapenz hapo amekufanya atm
 
Acha kugharamia bills zake muaktie wewe sasa hivi ndo una hari mbaya ya kiuchumi aanze kugharamia bills zako hapo ndipo utapata kipimo kizuri kama uwe nae UA LA .

Kama ni marioo atakukimbia na kukuacha na atajifanya yuko busy sana
 
Anakupima km kweli ni mvumilivu au una tamaa za kuolewa tu
 
Ninakushauri tu dada kama ana mika 38 na hajaoa na pesa hana utakuwa na uhakika gani kwamba pesa zaku zinasaidia nyumba ndogo. Ninakushauri huo ni moto na ukiingia kichwa kichwa utakuchoma.
 
si bora basi akudanganyie na kusahau kadi ya benki utajipa moyo labda atakurudishia... bila aibu atakwambia mi hapa sina hata mia... toa basi 😉😉😉
Hahahahahahahahaha


Hadi aibu

Kama sijanunua uhai ya lita muja tukaishia kushare

Nani anataka mario

Hahaha
 
Labda kweli anamatatizo,ikizingatiwa mpo afrika.
 
Huenda hiyo ni njia anayotumia kukupima kama wewe ni mwanamke unaefaa kwa ndoa.

Pia anataka ajue uvumilivu wako uko vipi hata ikitokea kuna tatizo utakuwa mvumilivu.

Dada kuwa mvumilivu tu mbona nyie mkiwa hamna kitu huwa tunawavumilia?

Huwa tunawalea vizuri bila kulalamika wala kelele zozote.
 
Miezi sita tuu umekuja humu...
Kama umeshindwa kumvumilia hapo ndani itakuaje??

Dada yangu naona umri umeenda ila mda umebaki nyuma. No offense
grow up dada
 
Habarini za leo wana Jukwaa hili. nipo hapa leo munishauri ndugu zangu, mimi ni mdada wa miaka 33 niliolewaga zamani ila ndoa ikaota mabawa miaka 6 iliopita. lakini pamoja na hayo bado nina hamu sana ya kuolewa cause naona mara ya kwanza hata sikuinjoy maisha ya ndoa.

sasa naomba ushauri wenu kuna mwanaume nimekutana nae kama miezi sita hivi imepita, ni mtu mzima miaka 38 yeye hajaoa bado, so anataka tuoane baada ya kufahamiana vizuri lakini kinachonichosha ni kwamba tangu nijuane nae kila siku analia shida, anasema hana hela ananiambia matatizo yake kila kukicha na kuniomba hela mara hana ela ya kula, mara umeme umeisha nimnunulie luku nk. mwanzo nilijua ni kusaidiana tu labda anapitia kipindi kigumu kifedha, lakini imekuwa ni zoezi endelevu, wakati yeye anafanya kazi na mimi nafanya kazi.

Amekuwa ni mtu wa kulalamika kwamba kazi anayofanya haina maslahi nk. sasa kwa kweli nachoka sana nashindwa kuelewa hii tabia yake, hela anapeleka wapi? na kama hatujaoana tu ndio hivi ikifika ndani si ndio itakkuwa balaa wakati mimi natagemea tusaidiane maisha badala yake imekuwa mimi ndio wa kumsaidia yeye kila siku. kashakula hela zangu nyingi wakati mimi sijawahi kumuomba hela yoyote ile. nahisi kama nimemchoka jamani, naomba ushauri wenu.

Sihitaji wale wenye lugha chafu za kejeli, nipo serious jamani nahitaji ushauri wenu.

Asante
Pole kwanza dadangu,pili uyu jamaa mchunguze vizuri anaweza kuwa mzigo kwako, na anaweza kukufanua uchukie kabisa ndoa na uikimbie kabisa itakayofata
 
Back
Top Bottom