Sweet Angel
Member
- Jan 25, 2014
- 14
- 5
bro mbona unazeeka kwa kusubiri chini ya mpapai lidondoke pera? yani kifupi ni kwamc huyo dada hana mpango na wewe, mbma king'ang'anizi hivyo, kha!
@mh shosti akioa na 38 mtoto wa kwanza atamzaa akiwa na 40? nani atalea watoto wake?
Mmmmmh huo ushauri 38?????.......Umri bado mdogo usikimbilie kuoa kijana,subiri walau ufikishe 38................
Ili aje kulea wajukuu badala ya watoto?Umri bado mdogo usikimbilie kuoa kijana,subiri walau ufikishe 38................
Vinginevyo wakati anastaafu akiwa na 60 first born ndio kwanza yuko sekondari, si majanga hayo? Wanaume wengi huwa tunakosea hapo kwenye maishaHuko 38 ni umri wa kuwa tayari una watoto kilochobaki unalea tu
Taabu yote ya nini? Mtu mzima hatishiwi nyau kaka. Jamaa asepe kivyake hakuna dili hapo. Wadada wanavyochangamkiaga kuolewa halafu yeye anadengua, lazima kuna mahali kajibanza na ndo lilipo Penza lakeKama anakupenda kweli,jalibu kumwambia umepata mpenzi mwingine na unataka umuowe.ili uone atachukuliaje swala ilo.
Jilaumu mwenyewe. Inawezekana huyo dada ulimuomba 0713...... ndio maana anakukwepa.Mimi ni kijana wa miaka 28, kwa sasa nahisi umefika muda muafaka wa kuwa na mwenza wa kujenga nae maisha na familia. Kuna mdada ambae nilitokea kumpenda na ninatamani awe mke wangu.kiukweli toka tumeanza mahusiano hatujawahi hata kusex na Tatizo lililopo ni kuwa simuelewi kabisa maana inaweza pita hata miezi miwili hatujaonana na kila nikimhitaji anadai yupo busy nikimuomba niende kwao angalau nimuone hataki na anakuwa anatoa visingizio tu so tunaishia kuwa wapenzi wa kuongea na simu tu na kuchat japo pia sometimes simu huwa hapokei na wala sms hajibu na nikimuuliza mbona unanifanyia ivo mpaka nakuwa sikuelewi anajibu kuwa bado ananichunguza. Tuna miezi minne toka tuanze mahusiano bt nahisi nmechoka na nahitaji nitafute mtu mwingine. Pls naombeni ushauri niendelee kumvumilia au niachane nae?
otUmri bado mdogo usikimbilie kuoa kijana,subiri walau ufikishe 38................