Ptheducer15
Member
- Oct 18, 2012
- 23
- 3
- Thread starter
- #21
hyo 38 n muda wa kulea watoto na kuwatengenezea misingi mizuri watoto wenu
Afadhali ndg yangu unisaidie maana hawa jamaa hawajui kabisa, sasa ukioa una miaka 38 then huyo tu 1st born mpaka aje aanze la kwanza una 40 na kitu akija kumaliza la saba una 50 na kitu na kama una mipango ya watoto watatu mtoto wa 3 atamaliza darasa la saba una 60 kuelekea 70