Simuelewi mke wangu

mkuu hapo kuna kitu kimejitokeza kinaitwa INCOMPATIBILITY, you are no longer compatible to each other... Yaani ni kama computer software kukiwa na COMPATIBILITY ISSUES una uninstall na kutafuta software itayofaa. Shida kuna watu hua ni wagumu kukubaliana na ukweli.
 
Pole Sana kiongozi..inabidi usimame Kama mwanaume kwenye hili swala otherwise mkeo atakusumbua Sana..huna sababu ya kujishusha kwenye hili eti sijui outing sijui nini, hiyo Ni big no..Kama kuna kitu alikwazika kwako Sasa anashindwa kukwambia? Bro unyumba Ni haki yako hata kwenye mafundisho ya ndoa inasisitizwa sana, Sasa wewe endelea kubembeleza huyo kisirani atakupanda kichwani
 


Mwezi tu unakuja hapa unalialia wengine tunakalibia kabisa mwaka tumetulia tu na maisha yanasonga ,vijana wa 90's changamoto sana vumilia kijana ipo siku utayasahau hayo na uache mawazo mgando
 
Kama uko dar mtandike talaka kama uko huku tuliko ongeza mke alafu mpotezee aendelee kulea watoto
 
Duuh..Nitakuja kuua mtoto wa mtu aisee,,nisifanyiwe hivi..
 
Kwanza,itakuwa humkazi vile anapenda kukazwa ndo mana anasingizia kuchoka

Pili,rejea point ya kwanza ili heshima ya ndoa irudi
Hakuna kitu kinauma kama hichi...Tulisema kwa shida na raha tutavumiliana. Imagine mimi ni kibarua wa kushusha mizigo toka kwenye kontena...Nafanya kazi nzito nirudi tena badala ya kupumzika namkaza mwanamke Dah.Life kwa mwanaume haliko fair kabisa kabisa... unatafuta hela kwa ajili ya familia yako, wakati wazazi waliopambana mpaka ukawa wewe wapo wanateseka na maisha...ndiyo maana watu hutoka nje kupata ahueni.Ogopa sana mwanaume akifikia huko
 
Kwanza,itakuwa humkazi vile anapenda kukazwa ndo mana anasingizia kuchoka

Pili,rejea point ya kwanza ili heshima ya ndoa irudi
Umemjibu kimasihara Sana,kwa kifupi mke wake Ana tabia Kama za mke wangu.
Ukweli mimi najua Sana mapenzi,nje ya kitanda na ya kitandani,nasifiwa Sana kwa mapenzi na wanawake ambao mimejihusisha nao,nime dili hata na wanawake wakubwa kunishinda umri,lakini sifa wanazonipa sio kawaida na ninajijua,lakini kwa mke wangu nimefika mwisho.wanawake wa namna hiyo wapo Wala sio hatuwapi ipasavyo,nafikiri ni wako abnormal.
 
Mungu anisaidie nioane na best friend wangu.akishakuwa my best friend nitakuwa huru kumwambia chochote,mda wowote.
Bado una utoto mwingi. Unaweza ukaona na rafiki yako na bado akafika ndani mkakosana. Watu wanakosana na ndugu waliozaliwa tumbo moja ndo iwe rafiki? Cha msingi wote mnapoingia kwenye ndoa mkubali kufanya compromise na kujaribu kuishi na mapungufu madogo madogo ya mwingine. Ndoa yahitaji wote mjifunze kuwa na busara na hekima. Pia yahitaji mungu aisimamie. Kwa akili zako za kibinadamu utachemka tu hata uolewe na malaika
 
Duh! Hii ni shida, nyumba ndogo haikwepeki
Naelewa hisia zako,na Mimi niko na changamoto hiyo,Kuna wanawake wengine wako abnormal,mke wangu Yuko Kama mke wako.
Pole Sana,nimchunguza nje ndani Wala hatoi nje.Hapendi tu sex labda Wana majini mahaba.
 
Mwanamke hajawahi kueleweka jisumbue tu Mkuu kumuelewa utakufa na magonjwa ya ajabu
 
Mkeo anaona hufanyi chochote yani au????? Kwamba humkuni vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…