hivi umeoa? kama hujaoa basi subiri ukiingia kwenye ndoa ndo utaelewa, lakini kame umeoa nazani utaelewa tabia za mtu kwenye ndoa na kabla ya ndoa ni tofauti sana, na mtu kabla hajakuoa unaweza kumrekebisha mana anakuwa na shida na wewe kwahiyo atafanya juu chini kukuridhisha lakini mkishaingia kwenye ndoa wanaume wengi huwa wanaona kama vile ndo mwisho wa jeuri ya mwanamke anaamua kufungua makucha. Alafu usijidanganye kwamba kuwambia ndugu au viongozi wa dini ndo kutamfanya abadilike,Hakuwa na tabia hiyo kabla ya kuoana? Kama alikuwa nayo, usingekubali kuolewa. Kama kabadilika, chukua hatua ya kumwambia yeye, then ndugu au viongozi wa dini, ikishindikana basi uamuzi ni wako ufanye nini. At least ukimweleza mtu, atakuelewa.
Sasa hio attention mbona kuna wenzenu wanapewa ya kuzidi wanaishia kuwaita washakaji ni Boring?Yes, kupewa attention na kusikilizwa kuna maana kubwa sana tena sana kwenye mahusiano kwasisi wanawake
Namkaza si mchezo, kwa hilo najiamini. Niko vizuri.
too much is harmful πππSasa hio attention mbona kuna wenzenu wanapewa ya kuzidi wanaishia kuwaita washakaji ni Boring?
Umesema kweli kuwa mtu anaweza ficha tabia kabla ya kuoa/kuolewa. Nafikiri mara nyingi tunapowashirikisha watu, si kwamba watambadilsha mtu. La hasha, ni kujenga uhalali katika jamii wa hatua pindi utakayochukua yeyote baadaye. Maadamu umeongea na mhusika na hayupo tayari kubadilika na upendo wako umekwisha, una options tatu tu. Mvumilie, divorce au tafuta mchepuko. Uamuzi ni wako kwa kweli. Hapo hakuna mwalimu.hivi umeoa? kama hujaoa basi subiri ukiingia kwenye ndoa ndo utaelewa, lakini kame umeoa nazani utaelewa tabia za mtu kwenye ndoa na kabla ya ndoa ni tofauti sana, na mtu kabla hajakuoa unaweza kumrekebisha mana anakuwa na shida na wewe kwahiyo atafanya juu chini kukuridhisha lakini mkishaingia kwenye ndoa wanaume wengi huwa wanaona kama vile ndo mwisho wa jeuri ya mwanamke anaamua kufungua makucha. Alafu usijidanganye kwamba kuwambia ndugu au viongozi wa dini ndo kutamfanya abadilike, NEVER mtu anabadilika kwa kutaka mwenyewe, na elewa jambo moja hapa sijaongelea zile tabia nzito ambazo zitakufanya uende kwa watu kutafuta suluhu, hapana ishu hapa ni vile vitabia vidogo vidogo, kama kutompa mwenzio attention na kutomsikiliza mwenzio unataka kila unachosema wewe kwasababu ni mwanaume basi ndio hivyo, yani kwenye maisha yengu mkeo anakuwa hana nafasi ya kutoa wazo, hata ukimshirikisha jambo unataka akubaliane nawewe tu sio na yeye aongezee lake, mfano mnajenga, lakini unataka kila kitu kiwe vile unataka wewe, mwanamke aki suggest hata sebule basi iwe hivi hutaki, au mnataka kununua gari, utakalo sema wewe ndio hilo mwanamke akitoa wazo lake unamuona hajui kitu, yan inshort inakuwa kila maamuzi utaka yawe ya vile utakavyo wewe ya mwenzio yote unayaona haya maana, sasa hapa ndo nnaposema kwamba mwanaume vitu kama hivi ataviona vidogo ila trust me kwa mwanamke ni msumari unaomchoma pole pole, mana ataanza ku loose confidence kwasababu anajua akitoa wazo lolote litapingwa
Unapenda ligi, ni kosa kumweleza mwanaume kuwa hakazi vizuri au kumweleza mwanamke kuwa K ni bwawa au ina harufu etc. afterall ukiona mwanamke hakojoi hata ukujipinda jua hakupendi. Uzoefu unaonesha kuwa mwanamke anayekupenda hata kumgusa tu anakojoa na hata ukiingiza kichwa yeye hoi. Hivyo kusimamia kucha kama kwenye porno ni ishara kuwa mwanaume unatwanga maji katika kinu.Mleta mada hajachukulia comment yangu kama kejeli
Tatizo lipo kwako
ni kosa kumweleza mwanaume kuwa hakazi vizuri au kumweleza mwanamke kuwa K ina harufu etc.
Thats stupid, ndio maana tunarudi pale pale mwanamke ni kiumbe wa ajabu. Hatosheki with whatever ana claim na huwezi mtimizia vyote maana kila wakati ana hitaji jipya.too much is harmful πππ
Kama anakimbizwa in a wrong direction si aseme sasa kununa ndiyo kutabadilisha nini ?Naongezea hapo alipoishia Joanah...
Wanawake wako tofauti sana unaweza ukajikuta unakimbiza with the right speed but in wrong direction ikawa kazi bure
Inawezekana amepoteza interest naww na Kuna vitu vyako havifurahii
Ongea nae taratibu muandae kisaikolojia mfurahishe kwenye mambo mengine madogomadogo yatasaidia kurudisha hisia zake kwako
Mtoe out siku mojamoja mkanywe hata soda mkisikiliza mziki mzuri itasaidia kurestore settings zake kurudi default
Kwa siku ambazo hauna ulazima wa kuchelewa nyumban rudi mapema ukae nae karibu
Ila kuwa makin usiwe na speed sana kweny hayo nliokushauri maana atahisi unapretent ili upewe kwa urahisi matokeo yake utampoteza mazima
Wanapenda sana kubembelezwa na kuumuliwa vichwa kwa masifa ya uongo na kweli
Ukiigundua password yake utaishi nae kwa aman saaana
Ushauri kwa vijana wenzangu tunapotaka kuoa tusiangalie tabia na ukubwa wa tako pekee tuangalie pia na uwezo wako wa kumteka kihisia ili huko mbeleni mambo yakianza kusuasua unaingiza password mambo yanarudi upyaaaa
Sa si aseme nini kinamsumbua..!
Hakuna mwanaume asiyejiamini kwa hilo ila wengi wanawake wanawavumilia tu na hawataki kuwaambia ukweli kwa kuwa atakuumiza, huyo ungekuwa unamkaza ule muda unaorudi tu tayari yeye anakusubiri kwa bashasha. Kaaa nae uongee nae vizuri si bure kuna jamboNamkaza si mchezo, kwa hilo najiamini. Niko vizuri.
tunatosheka sana tu, mnatakiwa kuwa na kiasiThats stupid, ndio maana tunarudi pale pale mwanamke ni kiumbe wa ajabu. Hatosheki with whatever ana claim na huwezi mtimizia vyote maana kila wakati ana hitaji jipya.
Unamaanisha nini?[emoji1][emoji1][emoji1]vya kudiscus vimeisha...?
Pole sana mwanaume mwezangu tunayefanana kwenye maumivu haya.Sina furaha kabisa,
Kwanza, Mke wangu hanipi unyumba mpaka niforce saaana. Mara nyingi husingizia kachoka wakati hakuna kazi ya maana anayofanya.
Nisipolazimisha unaweza ukapita hata mwezi bila kukutana kimwili.
Pili, kila nikitoka kwenye mihangaiko yangu naporudi home usiku huwa nawakuta mke wangu na mwanangu. Ajabu ni kwamba mwanangu hunikimbilia na kunipokea kwa furaha sana lakini mke wangu hubaki kuniangalia tu bila hata kunipa pole na kazi au hata kuniuliza habari za kazi.
Najiuliza sana nini chanzo cha haya yote. Furaha ya ndoa yangu inapungua kila kukicha.
NYONGEZA;
Leo asubuhi alitangulia kuamka, nikamfata nikaanza kuaandaa mazingira nile mzigo. Akaanza kukataa, mara akasema kalale nimebanwa na mkojo naenda kukojoa. Nikaenda kulala, cha ajabu hajaenda kukojoa ila akapanda kitandan kulala.
Kwa hasira nikamwambia wewe sio bure kuna mtu anakuto*ba. Nikamwambia tulioana tukiwa wazima sasa ole wako uniletee maradhi. Akamind sana, mi nikakaa kimya nikaamka na kusepa.
Wanaume wengi au wote mwanamke akikosa hamu ya tendo cha kwanza wanawaza kutombewa! Kaa jiulize mapenzi, urafiki, ukaribu mliokuwa nao kabla ya ndoa ndiyo mlionao mpaka sasa??? Chanzo ni nn? Kuna cha kurekebisha? Sio kutumia nguvu mkuuUnasubiri mpaka aanze kukwambia nmechoma kulala chumbani kwako? Muda utakupa majibu sahh ila jua unamegewa
Afu kukaza sio kukaza tu ilimradi ingiza toa hahahaaaa unaweza ukakuta ata unamchubua mwenzio unajisifu kukazaHivi kumkaza vizuri ndio kukoje?
Hamna ni tamaa za kishetani tuUna uhakika hakuna anachokosa?