Jr. Gong Mira
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 1,281
- 1,305
Nenda nae hospital pengine mkeo ni mjamzito tuSina furaha kabisa,
Kwanza, Mke wangu hanipi unyumba mpaka niforce saaana. Mara nyingi husingizia kachoka wakati hakuna kazi ya maana anayofanya.
Nisipolazimisha unaweza ukapita hata mwezi bila kukutana kimwili.
Pili, kila nikitoka kwenye mihangaiko yangu naporudi home usiku huwa nawakuta mke wangu na mwanangu. Ajabu ni kwamba mwanangu hunikimbilia na kunipokea kwa furaha sana lakini mke wangu hubaki kuniangalia tu bila hata kunipa pole na kazi au hata kuniuliza habari za kazi.
Najiuliza sana nini chanzo cha haya yote. Furaha ya ndoa yangu inapungua kila kukicha.
NYONGEZA;
Leo asubuhi alitangulia kuamka, nikamfata nikaanza kuaandaa mazingira nile mzigo. Akaanza kukataa, mara akasema kalale nimebanwa na mkojo naenda kukojoa. Nikaenda kulala, cha ajabu hajaenda kukojoa ila akapanda kitandan kulala.
Kwa hasira nikamwambia wewe sio bure kuna mtu anakuto*ba. Nikamwambia tulioana tukiwa wazima sasa ole wako uniletee maradhi. Akamind sana, mi nikakaa kimya nikaamka na kusepa.
All in all, kuchepuka kwa mke si lazima kiwe kimesababishwa na mume. This is my point. Kuji control ndio neno muhimu nno.Mimi naona hyo kawaida tu sema kuji control basi maana waweza kutana na mwanaume kakamilika kila idara, handsome ana kila kitu, na ajali so mtu unavutiwa naye tu Kama nyie wanaume jinsi huwa mnatamani na wanawake hutokea tu kuvutiwa na mtu, hasa ukute uliye naye Hana hizo taste.
Pole sana ndugu yangu na kabla ya yote, NAKUSHAURI USICHEPUKE!Sina furaha kabisa,
Kwanza, Mke wangu hanipi unyumba mpaka niforce saaana. Mara nyingi husingizia kachoka wakati hakuna kazi ya maana anayofanya.
Nisipolazimisha unaweza ukapita hata mwezi bila kukutana kimwili.
Pili, kila nikitoka kwenye mihangaiko yangu naporudi home usiku huwa nawakuta mke wangu na mwanangu. Ajabu ni kwamba mwanangu hunikimbilia na kunipokea kwa furaha sana lakini mke wangu hubaki kuniangalia tu bila hata kunipa pole na kazi au hata kuniuliza habari za kazi.
Najiuliza sana nini chanzo cha haya yote. Furaha ya ndoa yangu inapungua kila kukicha.
NYONGEZA;
Leo asubuhi alitangulia kuamka, nikamfata nikaanza kuaandaa mazingira nile mzigo. Akaanza kukataa, mara akasema kalale nimebanwa na mkojo naenda kukojoa. Nikaenda kulala, cha ajabu hajaenda kukojoa ila akapanda kitandan kulala.
Kwa hasira nikamwambia wewe sio bure kuna mtu anakuto*ba. Nikamwambia tulioana tukiwa wazima sasa ole wako uniletee maradhi. Akamind sana, mi nikakaa kimya nikaamka na kusepa.
Kuchepuka ni choice tu na tabia ya mtu Wala haisababishwi na mapungufu ya mwanaume/mwanamke kwenye mahusianoAll in all, kuchepuka kwa mke si lazima kiwe kimesababishwa na mume. This is my point. Kuji control ndio neno muhimu nno.
Ndiooooikipump sana kavu kumbe inaleta malengelenge ofisini,
damn, that's gross
Wanaume hufikiria kusikiliza hisia za mke au ushauri wake ni kujishusha na kutawaliwa na mke kumbe sio kabisa, wajifunze kusikiliza wake zao waone Kama vibe litaisha ndani ya nyumba, wanawake hata tukipata Jambo hupenda kusikilizwa wengine hupuuza wakifikiri ndo uanaumeExactly, yani ikiwa ni ndoa ya kila anachosema mwanaume ndo hicho hicho hasikilizi wazo la mkewe hata moja, hapo ni balaa
Sa si aseme nini kinamsumbua..!Inawezekana yeye hafikirii kama wewe
[emoji23][emoji23][emoji23] wale masela sio watu wazuri wanazama mpaka uvinzaKuna boda boda anamla kisoda chunguza
Kyala gwa maka ndio nini mkuu 🤣🤣🤣🤣!!! Naona umenena kwa lugha aisee...Yaani kuona tu hapo penye neno "uliinjoi ee" ndio ingekuwa mwisho wa maisha ya mmoja wetu.
Mwanamke amefanya kwa hiari kabisa, kageuzwa na kugeuzika hata kusiko geuzika ili tu amridhishe mchepuko!!! Enheee Kyala gwa maka...
Ni ngumu kuwa consistent katika hilo!Sasa ukishafanya kwa mda ukaacha ndo unaharibu Sasa maana mtu anaanza kutafta alichokikosa ndani kwenda huko nje.
Mapenzi magumu Kama watu hamko commited na kupendana kiukweli,na hapo ukute binamu yako na yeye huchepuka na mke anamulipiza.
Pia ni ngumu kumridhisha binadamu
Sina furaha kabisa,
Kwanza, Mke wangu hanipi unyumba mpaka niforce saaana. Mara nyingi husingizia kachoka wakati hakuna kazi ya maana anayofanya.
Nisipolazimisha unaweza ukapita hata mwezi bila kukutana kimwili.
Pili, kila nikitoka kwenye mihangaiko yangu naporudi home usiku huwa nawakuta mke wangu na mwanangu. Ajabu ni kwamba mwanangu hunikimbilia na kunipokea kwa furaha sana lakini mke wangu hubaki kuniangalia tu bila hata kunipa pole na kazi au hata kuniuliza habari za kazi.
Najiuliza sana nini chanzo cha haya yote. Furaha ya ndoa yangu inapungua kila kukicha.
NYONGEZA;
Leo asubuhi alitangulia kuamka, nikamfata nikaanza kuaandaa mazingira nile mzigo. Akaanza kukataa, mara akasema kalale nimebanwa na mkojo naenda kukojoa. Nikaenda kulala, cha ajabu hajaenda kukojoa ila akapanda kitandan kulala.
Kwa hasira nikamwambia wewe sio bure kuna mtu anakuto*ba. Nikamwambia tulioana tukiwa wazima sasa ole wako uniletee maradhi. Akamind sana, mi nikakaa kimya nikaamka na kusepa.
Mkuu haya mambo acha tu [emoji23][emoji23][emoji23]Kyala gwa maka ndio nini mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!! Naona umenena kwa lugha aisee...
Nimekumiss pia dear, kiukweli nimekuwa adimu sana sijui ndio uzee huu naona uvivu kuingia jfHahahh angalau hii sijakaa kihuzuni
BTW nimekumiss,umekuwa adimu sana huku
Mke asiyejua wajibu wake huyo siyo mke.Unatombewa hapo anatombwa huyo. Mpe likizo aende bush ndio atakuwa na akili. Wengi wanakuongopea ukweli anakazwa nje. Akili.za mwanamke sio za kumuamini kbs. Mke unamlazimisha kukupa haki yako. FUKUZA
Hahahahah unashinda maporini tu halafu unarudi mjini unakuta ushubwada namna hio!Mkuu haya mambo acha tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu nipo porini huku mbu ndio rafiki zangu, baridi imekuwa faraja yangu na kadhia zingine kibao ili nitimize mahitaji ya familia, unarudi nyumbani unakutana na huo "uliinjoy eeh".... Ni Mungu pekee mwenye nguvu (Kyala gwa maka) ya kuniepusha nisifanye mauaji
Sina furaha kabisa,
Kwanza, Mke wangu hanipi unyumba mpaka niforce saaana. Mara nyingi husingizia kachoka wakati hakuna kazi ya maana anayofanya.
Nisipolazimisha unaweza ukapita hata mwezi bila kukutana kimwili.
Pili, kila nikitoka kwenye mihangaiko yangu naporudi home usiku huwa nawakuta mke wangu na mwanangu. Ajabu ni kwamba mwanangu hunikimbilia na kunipokea kwa furaha sana lakini mke wangu hubaki kuniangalia tu bila hata kunipa pole na kazi au hata kuniuliza habari za kazi.
Najiuliza sana nini chanzo cha haya yote. Furaha ya ndoa yangu inapungua kila kukicha.
NYONGEZA;
Leo asubuhi alitangulia kuamka, nikamfata nikaanza kuaandaa mazingira nile mzigo. Akaanza kukataa, mara akasema kalale nimebanwa na mkojo naenda kukojoa. Nikaenda kulala, cha ajabu hajaenda kukojoa ila akapanda kitandan kulala.
Kwa hasira nikamwambia wewe sio bure kuna mtu anakuto*ba. Nikamwambia tulioana tukiwa wazima sasa ole wako uniletee maradhi. Akamind sana, mi nikakaa kimya nikaamka na kusepa.
Yes, kupewa attention na kusikilizwa kuna maana kubwa sana tena sana kwenye mahusiano kwasisi wanawakeUnajua tunachowaza zaidi ni kwanini wanawake wengi wenye Nice guys ndio wanafanya hivyo. Ina maana shida inakuwa sio kupewa attention na kusikilizwa?