naheshimu mawazo yako mkuuππ.Kabisa Mkuu, Mwanaume ndani ya nyumba lazima uheshimike katika hiyo Order. Yaan linapokuja suala la BABA MWENYE MJI MUME, MZEE WA KAYA, MZEE WA KAMBI .. Nilazima ibakie ivoivo yaan hili halina mjadala kwangu.( hii ndio silaha walotumia wazeee wetu, unakuta ana wanawake wanne, lkn hakuna mwanamke anayechepuka. Kwasababu wote wanamjua vxuri.... Sada siku hzi mke mmoja tu anavyotoa watu miulimi njer mate kudondoka ,mikono juu[emoji23][emoji23][emoji23]... )
Uwe una kazi, uwe huna, uwe ni mwanaharakati, uwe mtu wa sheria n.k .. Yaan LAZIMA UNITAMBUE KWA IYO HESHIMA JUU.
nitakupenda sanaaaa, kujali n.k , NAWEW unilipe HESHIMA.
Bila hilo, Nitaisahau mahari nilotoa. Na Utasepa tu .
Siku hiz vijana wamekua na uzungu sanaa, ujentomeni, na maujinga ujingaa ya beby beby beby beby beby ..
Ukizoeana sana na Mbwa atakufata mpaka msikitin... IELEWEKE IVI, NI LAZIMA KUMPENDA MKEO, KUMJALI NA KUMFANYA AIONE DUNIA YUKO MWENYEWE ... WAKATI HUOHUO UMFANYE AJUE, WEWE NI SIMBA PALE ANAPOENDA KINYUME NA KUFANYA MAUJINGA YASOFAAA....... YAAAN WEWE NI """HUELEWEKI""""".
Ndoa itadumu, hakutakua na maujinga yakunyimwa K.
Kazi ipoKumfanya akuhitaji zaidi
Eehh kabisa , sasa mume afanye hayo yoteee weeeeee kwa uwezo wake...Wacha bwana
Utashangaa wewe mkuu......Pengine nitafute mchepuko, kisha mke wangu nimsuse mpaka ashangae.
Piga Puli aka nyeto mbele yake!Kufukuza sio nchezo mzee. Ukizingatia tuna mtoto 2yrs. Hapo itakuwaje
Salamu zimefika Mkuuu .naheshimu mawazo yako mkuu[emoji122][emoji122].
Msalmie wife .
Hizi presha za mwendokasi boss.Inahitaji moyo wa chuma. Huyu ni mke wa binamu yangu. Jamaa alinipa malalamiko ya aina hio hio sikutaka kutia neno zaidi nilimwambia vizia simu yake tu. Hiki ndicho alichokutana nacho leo. Sijui hata kama ataweza kula.
View attachment 1515503
Mwanamke anafanya CPA private studies chuo flani, hio njemba ni miongoni mwa wanaosoma nae.
Sasa jamaa nimeshindwa hata cha kumueleza nimeshia kusema "aiseeh!"Hizi presha za mwendokasi boss.
Sasa wewe kwa nini usimwambie kuwa kakukosea unakaa kimya tu halafu unasema ajichunguze!!! Atajuaje? Unachekesha sana.Kuchepuka sio dawa ni kuongeza matatizo juu ya matatizo. Huwa nasema ndoa bila Mungu ni matatizo, mana ukikosa hofu ya Mungu ndo mawazo potofu yanapopata nafasi unazani unajenga kumbe ndo unazidi kuharibu. Nikwambie tu mabadiliko hasa ya tabia na sex ndani ya ndoa huwa yanasababu hayaji tu hivi hivi, Mimi nikiwa kama mwanamke ambae niko kwenye ndoa, kuna vitu wanaume huwa mnafanya vinatufanya tuwe na hasira lakini nyinyi mnajifanya kama hamuoni au mnachukulia kawaida na unakuta ile hali ya hasira na unyonge inakaa ndani ya moyo muda mrefu kiasi kwamba upendo unaanza kupungua which hupelekea na hisia za mapenzi kuanza kupotea. Jichunguze umekosea wapi, au kuna kitu gani ndani ya nyumba kifanya muwe mnakwazana may be mara kwa mara, ukipata jibu umepata dawa. Lakini kama hamna kitu chochote kama kupishana ni kwa kawaida tu alafu amekuwa hivyo, mpotezee yani usiguse kabisaaa jifanye kama vile humuoni mwezi tu, utaleta mrejesho
Hatuwatesi mkuu tunatesana tu.Salamu zimefika Mkuuu .
Punguzeni kuwatesa Jamaa zenu... Laiti mngejua mpo weengi mpaka mnamwagikia , msingewafanyia haya.
Ukweli wacha usemwe tu maana hata kama tukificha haitamsaidiaUtamuua jamaa mwambie aandike husia kabisa.
Ukisikia mtu kapigwa gunia za mkaa ndio mambo kama haya. Wanawake wa kibongo ni takataka kabisa. Na hamna anachokosa kwa mumewe hapo in terms of huduma wala hawana mikwaruzano.πππ³ mamaaa Nimeona aibu
Duh pole yake Aisee .
Hamna. Atashangaa mwanamke.Utashangaa wewe mkuu......
unakuwa unamwambia lakini still mnakuwa hamuelewani, yeye anakuwa anaona yuko sawa wakati wewe unaumiaSasa wewe kwa nini usimwambie kuwa kakukosea unakaa kimya tu halafu unasema ajichunguze!!! Atajuaje? Unachekesha sana.
Mwanamke akiamua kuchepuka, kaamua. Eti utaongea nae akusikilize? Unatwanga maji kwenye kinu.
π π usiogope mkuuNikiwa mkubwa sitaki mapenzi!
Ushauri uliompa wa kuivizia simu yake Ni ushauri uliokamilika hayo mengine atajiongeza kiume.Sasa jamaa nimeshindwa hata cha kumueleza nimeshia kusema "aiseeh!"
Dah inauma kweli.Ukisikia mtu kapigwa gunia za mkaa ndio mambo kama haya. Wanawake wa kibongo ni takataka kabisa. Na hamna anachokosa kwa mumewe hapo in terms of huduma wala hawana mikwaruzano.