Simuelewi mke wangu

Kabisa Mkuu, Mwanaume ndani ya nyumba lazima uheshimike katika hiyo Order. Yaan linapokuja suala la BABA MWENYE MJI MUME, MZEE WA KAYA, MZEE WA KAMBI .. Nilazima ibakie ivoivo yaan hili halina mjadala kwangu.( hii ndio silaha walotumia wazeee wetu, unakuta ana wanawake wanne, lkn hakuna mwanamke anayechepuka. Kwasababu wote wanamjua vxuri.... Sada siku hzi mke mmoja tu anavyotoa watu miulimi njer mate kudondoka ,mikono juu
... )


Uwe una kazi, uwe huna, uwe ni mwanaharakati, uwe mtu wa sheria n.k .. Yaan LAZIMA UNITAMBUE KWA IYO HESHIMA JUU.

nitakupenda sanaaaa, kujali n.k , NAWEW unilipe HESHIMA.

Bila hilo, Nitaisahau mahari nilotoa. Na Utasepa tu .



Siku hiz vijana wamekua na uzungu sanaa, ujentomeni, na maujinga ujingaa ya beby beby beby beby beby ..


Ukizoeana sana na Mbwa atakufata mpaka msikitin... IELEWEKE IVI, NI LAZIMA KUMPENDA MKEO, KUMJALI NA KUMFANYA AIONE DUNIA YUKO MWENYEWE ... WAKATI HUOHUO UMFANYE AJUE, WEWE NI SIMBA PALE ANAPOENDA KINYUME NA KUFANYA MAUJINGA YASOFAAA....... YAAAN WEWE NI """HUELEWEKI""""".


Ndoa itadumu, hakutakua na maujinga yakunyimwa K.
 
mkuu mi naweza kusema mwache aende zake kama anataka au wewe lea mtoto ndani tena weka beki tatu afu sasa tafuta unayempenda umpangishie muaze maisha naye just simple like that, yaan bandika bandua ndio habari tu, mahusiano ni pasua kichwa kabisa.
 

braza imeisha hiyoooooo...kuna mjuba anamtimua vuzi tayari..jiandae kisaklojia tu
 
Hahahh angalau hii sijakaa kihuzuni

BTW nimekumiss,umekuwa adimu sana huku
naona anakuhamasisha sasa nyie mademu huwa mna asilimia au niseme chembe chembe za ulesbanian, πŸ˜… kama nakosea sorry. imagine you with Shunie mnavo convo utasikia hi baby girl or hi girlfriend πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
mkuu mi naweza kusema mwache aende zake kama anataka au wewe lea mtoto ndani tena weka beki tatu afu sasa tafuta unayempenda umpangishie muaze maisha naye just simple like that, yaan bandika bandua ndio habari tu, mahusiano ni pasua kichwa kabisa.
Mkuu kwa uchumi huu ahudumie mke, mtoto,beki tatu na mchepuko? Ajaribu aone.
 
naona anakuhamasisha sasa nyie mademu huwa mna asilimia au niseme chembe chembe za ulesbanian, πŸ˜… kama nakosea sorry. imagine you with Shunie mnavo convo utasikia hi baby girl or hi girlfriend πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Demu mwenyewe
 
Mkuu kwa uchumi huu ahudumie mke, mtoto,beki tatu na mchepuko? Ajaribu aone.
mkuu basi afanyaje maana yeye tayari ana mke na mke hataki mpaka jamaa amubake sasa inakuwaje afanye kuomba papuchi na ni haki yake yeye mwanaume.basi afuate ushauri wa wadau wengine mkuu waliotoa hapa jukwaani kama kutolewa out sijui manjonjo ya kumtembeza nakadhalika.
 
Mkuu,comment zako zote mbili umeziandika kwa hisia sana
 
Unahisi ndio suluhu. Mwanamke hisia zake zikienda likizo hata ufanyeje hazirudigi kama awali. Atakunafikia tu ila mwisho wa siku utagundua hayuko real utaumia zaidi.

Dawa ni kutafuta mchepuko tu.
 
Fanya uchunguzi mzee lazima unagongewa. Wanawake wakipata mtu anayemfeel anapoteza mapenzi kwa mme wake na uwa ni automatic wenyewe hata hawastuki inatokea naturally. Chunguza simu yake utagundua mengi sana

Pole sana
Utamuua jamaa mwambie aandike husia kabisa.
 
Kuchepuka sio dawa ni kuongeza matatizo juu ya matatizo. Huwa nasema ndoa bila Mungu ni matatizo, mana ukikosa hofu ya Mungu ndo mawazo potofu yanapopata nafasi unazani unajenga kumbe ndo unazidi kuharibu. Nikwambie tu mabadiliko hasa ya tabia na sex ndani ya ndoa huwa yanasababu hayaji tu hivi hivi, Mimi nikiwa kama mwanamke ambae niko kwenye ndoa, kuna vitu wanaume huwa mnafanya vinatufanya tuwe na hasira lakini nyinyi mnajifanya kama hamuoni au mnachukulia kawaida na unakuta ile hali ya hasira na unyonge inakaa ndani ya moyo muda mrefu kiasi kwamba upendo unaanza kupungua which hupelekea na hisia za mapenzi kuanza kupotea. Jichunguze umekosea wapi, au kuna kitu gani ndani ya nyumba kifanya muwe mnakwazana may be mara kwa mara, ukipata jibu umepata dawa. Lakini kama hamna kitu chochote kama kupishana ni kwa kawaida tu alafu amekuwa hivyo, mpotezee yani usiguse kabisaaa jifanye kama vile humuoni mwezi tu, utaleta mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…