Simuelewi mke wangu

Sijawahi chepuka, lakini hapa nilipofika nitalazimika,. potelea mbali
Mkuu tafuta muda utokee na waifu mwende sehemu tulivu wawili mzungumze ikiwezekana iwe ni mbali na hom utajua tatizo nini hasa na atakueleza kwa undani, changamoto zinazotokea kwenye ndoa zitatueni wenyewe mkiziacha zinaleta madhara makubwa sana Mkuu kwa watoto na wanakosa upendo kwa pande zote mbili, usiruhusu hali hii itokee itawapa watoto maumivu, Kuchepuka si suluhisho suluhu ni kujua chanza cha tatizo na kutoa solution.
 
Sijawahi chepuka, lakini hapa nilipofika nitalazimika,. potelea mbali
Ndugu yangu hiki ni kilio cha wanaume wengi naelewa maumivu yako. Ila naomba ufikilie mara mbili tafadhari uamuzi huu sio mzuri bora upige puli tu upozee machungu na kumwomba Mungu akusidie sana. Nje kuna magonjwa n pia kupata mchepuko aliyetulia ni ngumu sana. Wewe kumkomesha piga puli kwa uwazi kabisa ajue.
 
Fanya jambo mmoja japo linaumiza sna
Jikaze mkaushie kabisa hta vistory vyake mpotezee usimguse wala kumuulizia kitu chochote wiki Mbili zinatosha akiuliza kitu jibu kifupi sna usiongeze chochote hta km unakijua
 
naweza nikawa mdogo kimawazo au kifikra ila huwa na msemo mmoja mwanaume kama mwanaume hii duniai hakuna wa kukuonea huruma katika matatizo yako mwenywe isipokuwa mama yako mzazi kama umeshazaa watoto naye jitahidi kumvumilia kama hali itakushinda fukuzia mbali maana hili jambo litakutesa na wala hutaona sababu ya kuishi..kuna principle moja inasema ,,you cant control whats going on on the universe but you can opt do be the part of it...cha msingi tafuta tatizo nini ikishindikana usi mcheta ila fuata taratibu za kuhalali za kumuacha kucheat no dhambi anmbayo haitakiaucha salama hata kama yeye kafanya wewe usifanye
 
Poleeeeh sana kaa chini na mwenzio mjadili hili suala kwa kina, nina amini mtapata suluhisho la pa1 pasipo kuathiri chochote.
 
Sasa wee hapo sio mapenzi, ni ubabe na u dictator. Mmmmmmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…