Simuelewi kabisa huyu mwanamke

Hizi angles zote muhimu. Nimeongezea horizon mkuu. Asante
 
Mtengeneze utakavyo ukiona haelekei pokea mapungufu yake Kama yako..


Hilo tatizo la ratiba hata Mimi ninalo..kidogo kidogo naelekea.
What if kama hofu yangu ikawa sahihi kuwa hisia zake hazipo kwangu? Maana ikiwa mwenzako anakuficha hadi mambo madogo tuu, basi kuna harufu ya ama kuwa na wenzangu kwenye foleni au moyo wake unazuga tuu huku
 
What if kama hofu yangu ikawa sahihi kuwa hisia zake hazipo kwangu? Maana ikiwa mwenzako anakuficha hadi mambo madogo tuu, basi kuna harufu ya ama kuwa na wenzangu kwenye foleni au moyo wake unazuga tuu huku
Kama hofu yako itakuwa sahihi huna budi kumuacha aende kuliko kuendelea kumshape mwisho wa siku uje jutia.
 
Kosa liko kwako kumuamini MTU ambaye hakuamini kujiweka wazi kwa MTU kuliko kawaida uwo in uzembe wako mwenye wala usimlaumu yeye
 
Mkuu mbona simple tu ila mwanzo itakuuma,,, mpotezee

If you love thing,, just leave it,, if it's yours Will eventually come back!

The things which mean will find a way.

Ivi unaujua upendo??

Ata kumuacha mtu unae mpenda kwenda sehemu ya furaha yake,,,
Ni upendo mkubwa sna

Maisha ni haya haya find u're Joy with you..

And God will bless you.
 
Hamna ishu hapo sepa zako. Kwa dunia ya leo hujui mtu pretender tu? Mkuu tafuta mwingne hapo utapoteza muda mwisho utaenda kujirusha manzese darajani.
 
Atakua na trust issues,labda aliumizwa in the past...
 
Funga
Asante mkuu. Bahati nzuri kwa kweli tumefungua joint saving account. Hili la posa ngoja nijitahidi kulifanya ila kwa akili maana neno nakupenda limekuwa wimbo kwake
Hiyo joint account hiyo ni dalili ya kwanza ya kutoaminiana why u fanye hivyo bora usitishe hiyo ndoa
 
Mkuu kwanza Daniel ni jina la mtoto wangu. Pili ujumbe wako umeniingia sana. Letting it go sometimes ni upendo kwa yule mtu. Ukifika wakati huu ambao siuoni mbali, nitafanya kwa moyo wa upendo kabisa. Asante mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…