Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,431
- 2,210
Mkuu, pengine mimi niko kwenye foleni? What if tuko wawili/watatu? Maana kwa hii tabia ninahofia kuwa siko peke yangu.Usiri ni tabia ya mtu... ISHU HAPO NI KWAKO YEYE ANAKUPENDA AU MCHEPUKO? Ukishindwa piga mimba JEURI YOTE ITAKATA..
Hii naihisi pia. Asante mkuuShe isn't into you...
Yes. Nimemueleza mara nyingi tuu. Anakuwa kama anaelewa halafu anarudia yaleyale baada ya mudaUmejaribu kumweleza unavyokereka na kukosa Amani juu ya hayo afanyayo?
Naona ni vitu vidogo sana vinarekebishika.
Mweke chini umwambie, kama anakupenda atajirekebisha/atajaribu.
Ananiuma maana nampenda sana mkuuFungu la kukosa hilo kiongozi.. utapata shida mbeleni kama hatobadirika
Yes. Nimemueleza mara nyingi tuu. Anakuwa kama anaelewa halafu anarudia yaleyale baada ya muda
Investment yangu kwake ni kubwa sana ikilinganishwa na return yake kwangu. All I need is love. Only love but she isn't offeringPole sana
Usimwamini Huyo binti
Kwanini mkuu una invest sehemu unayoona kabisa haitakupa faida ?Investment yangu kwake ni kubwa sana ikilinganishwa na return yake kwangu. All I need is love. Only love but she isn't offering
Hakika. Uko sawa kabisaNiliambiwa na mtu kuwa "asiyekushirikisha matarajio yake bhasi uwezekano mkubwa ni hakuoni katika future yake, asiyekushirikisha maumivu yake bhasi haupo moyoni mwake"..
Mkuu nimesoma between lines na inaonesha umeshaelewa mchezo mzima ila unasubiri watu wakupe ujasiri tu. Jiamini
Nilitazamia kuvuna upendo kwa kuwekeza upendo. Ila nayaona maji yanaleta mazoea kuvuka shingoKwanini mkuu una invest sehemu unayoona kabisa haitakupa faida ?
Kama unajua hupati upendo ukiendelea kumng'ang'ania utakuja pata maumivu makali sana.
Hii inaanza with immediate effect huku nikielekea maamuzi magumuKama anarudia yale yale basi jaribu kubadilika ww ishi kama anavyoishi yeye kama haoneshi kujali na ww onesha kutojali, asipokwambia mambo yake usimwambie yako, huenda hii hali ikamfanya ajirudi