Wadau wote natumaini mnaendele vema. Jambo linalonifanya nijekwenu leo ni kwamba, kwa mara ya kwanza toka nijiunge na jf nilikuwa sijapata rafiki wa kuwasiliana mpaka kukutana. nilikuwa napata wakuwasiliana tu maana wengi walikuwa ni wa mbali lakini. kama wiki mbili hivi nimebahatika kupata msomi wa chuo kikuu, nikweli tulikutana tukala kuku na kunywa, sikuwa na haraka ya kumtongoza ili nigegede. wiki imepita sasa kila nikimtongoza anakataa katakata hataki. Lakini nikikaa kimya bila kuwasiliana nae hata saa moja analalamika na kutuma sms nyingi kunilaumu. nikitaka awe mpenzi wangu hataki sasa wadau hii nini? Maana mi naumia ndomaana naamua kukaa kimya ili nipotezee lkn yeye hataki nikimtongoza hataki. Mawazo yenu wadau.
Toa hela.
mkuu niaje? ile kesi yako na dogo kakajambaz iliishaje?
da! pole sana ila punguza mchecheto vitu vizuri havitaki haraka vuta subira ila kua makin inaonekana money orientedWadau wote natumaini mnaendele vema. Jambo linalonifanya nijekwenu leo ni kwamba, kwa mara ya kwanza toka nijiunge na jf nilikuwa sijapata rafiki wa kuwasiliana mpaka kukutana. nilikuwa napata wakuwasiliana tu maana wengi walikuwa ni wa mbali lakini. kama wiki mbili hivi nimebahatika kupata msomi wa chuo kikuu, nikweli tulikutana tukala kuku na kunywa, sikuwa na haraka ya kumtongoza ili nigegede. wiki imepita sasa kila nikimtongoza anakataa katakata hataki. Lakini nikikaa kimya bila kuwasiliana nae hata saa moja analalamika na kutuma sms nyingi kunilaumu. nikitaka awe mpenzi wangu hataki sasa wadau hii nini? Maana mi naumia ndomaana naamua kukaa kimya ili nipotezee lkn yeye hataki nikimtongoza hataki. Mawazo yenu wadau.
mpe hela ya matumizi kama laki mbili uoe kama atakataa.... fanya hivi funga kwenye baasha ya kaki wakati unamwaga mpe alafu tulia tu kimya,....
LAKI mbili hivi hivi naiona....... labda isiwe ya jasho langu.
na kwambiaaa!yaani...Labda mwenzio anataka uwe rafiki tu wakawaida wewe unawaza ngono.
ya jasho lako ndo nzuri zaidi
mjomba ukiona manyoyaa...yawezekana she love chat friend sio kimihemuko....tulia njia kuu...chunga michepukowadau wote natumaini mnaendele vema.
Jambo linalonifanya nijekwenu leo ni kwamba, kwa mara ya kwanza toka nijiunge na jf nilikuwa sijapata rafiki wa kuwasiliana mpaka kukutana.
Nilikuwa napata wakuwasiliana tu maana wengi walikuwa ni wa mbali lakini.
Kama wiki mbili hivi nimebahatika kupata msomi wa chuo kikuu, nikweli tulikutana tukala kuku na kunywa, sikuwa na haraka ya kumtongoza ili nigegede.
Wiki imepita sasa kila nikimtongoza anakataa katakata hataki.
Lakini nikikaa kimya bila kuwasiliana nae hata saa moja analalamika na kutuma sms nyingi kunilaumu.
Nikitaka awe mpenzi wangu hataki sasa wadau hii nini?
Maana mi naumia ndomaana naamua kukaa kimya ili nipotezee lakini yeye hataki nikimtongoza hataki.
Mawazo yenu wadau.
Hahaaa.. nahisi nikishindwa kujizuia nikampa... nitaenda kujifungia mahali nilie hadi nitoe hamu. japo mwanaume haliagi.