Simuelewi huyu mwanaume

Unataka umtibu akati wagegedaji hodari tena wakujitolea tupo
 

jaribu kwengne hyo so rizik,
 
Belinda Belinda john mpenzi Wang ndo umemua kunianika huku!hujantendea khaki naogopa ukimwi ndo maana had tukapme,ungeniuliza kabla hujaja hku mamaa,
 
amezaliwa mwezi huu tarehe sitataja kwa usalama zaidi,inshort ni cancer man kama wewe,ila asante kwa ushauri wako nitajitahidi kufanya ivyo...,
 
ahsante sana kwa ushauri wako mzuri,na nitajaribu kufanya ivyo...ubarikiwe sana
 
Inaonekana jamaa yako ana upungufu wa nguvu za kiume, mwambie atumie asali kila siku, ale pweza, tende, matikiti maji, maziwa, karanga mbichi na mboga za majani!!!!
nashukuru sana kwa ushauri wako mzuri,asante sana nitamwambia atumie ivyo vitu mara kwa mara pasipo yeye kujua why nimemwambia ivyo maana sitapenda nimfanye ajisikie vibaya kuhusu tatizo lake,asante sana MZEE RAZA.
 
kama kahaba flani vile...!
Nosspass tuheshimiane,bora mie sio mnafiki kudanganya walimwengu,nasema kitu ambacho kipo real i dont fake,sio wewe unajidai mtakatifu kumbe mzinzi wa kufa mtu tena na muuaji,sijui jambazi au matakataka yote ya uzinzi.kama ulikuwa hauna la kushauri ungepita pembeni hakuna aliyekulazimisha kucomment.,:hand: ishia hukohuko.:A S angry::mad2:
 

kumbe nimekulenga.....pole belinda...
 
kama mnapendana na mna mipango ya kuwa pamoja baadae, basi hamjachelewa, mshauri mwenzako muende hospitali kwa wataalam wajue shida ni nini na suluhu ipatikane. ILA, kama hamna mipango yeyote na unaona hakieleweki, basi mvumilie kwa muda huo au achana nae.
 
duuh?,,saikolojia yake mayb haijaandaliwa vzr,,na mayb anawaza vifaa vya ujenzi nondo misumari mabati au hana kazi aumsongo wa mawazo
 
amezaliwa mwezi huu tarehe sitataja kwa usalama zaidi,inshort ni cancer man kama wewe,ila asante kwa ushauri wako nitajitahidi kufanya ivyo...,

Hahaha kama nilihisi kitu kama hicho,usikubali kumpoteza.Kama utaogopa kwenda hospital niko na formular naweza kukupa itamsaidia sana kushutua Libido na kupandisha homones for free lakin sichaji hata shilingi moja mana kila kitu unanunua wew mim nakupa formula ya jinsi ya kutengeneza.Mpe salamu zake
 
Make-out/ necking.

Make-out/ necking.

Make-out/ necking.



Make-out/ necking.

Sorry for being a grammar snob but I just had to correct you. I couldn't help it.

I'm in my grammar-police mode today.

So watch out.

Hivi we jamaa ni kwamba hujui kiswahili au ni ulimbukeni tu? tafuta majukwaa ya kiingereza mkuu ukajionyeshe kuwa unajua kiingereza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…