Simuelewi huyu mwanaume

Kwanini usirudi huko ulikopita? Si umesema wanataka marudio? Huku unaanzisha kule unamalizia.
 
Sidhani kabisa kama wananielewa aisee.

Mbaya zaidi ni hawajui kuwa hawajui.

Na uko sahihi, ni tatizo karibu la nchi nzima.


Ni kama unapoona mtu akiona petrol station anaita sheli
yaani mtu mzima na msomi..anakwambia tulikua sheli ya oilcom
mwingine anakwambia njoo hapa BP ukifika unakuta ni oilcom...
mradi watu washajizoesha kukosea hata hawajali tena..
 
I think ni wewe pekee uliyeshangaa,cos am not a kid na mapenzi sijaanza kwake mpk nimefikia kuandika humu basi ujue am above 21 and alot of people above 21 has onced dated more than 1 man,sijui kitu gani kilichokufanya ushangae au ubold hiyo sentenci kichwani mwako.
 
belinda john

hilo ni GALASHA tupilia mbali tafuta mashine mpya.
 
Last edited by a moderator:
world is not fair
 
siwezi kurudi maana feelings zilishaishaga na tayari nilishaanzisha na huyu niliyenae,...
 

Sio kushangaa ni curiosity tu
ni kama vile unapenda vitumbua halafu unasikia kuna vitumbua watu wakila wanarudi tena
na wewe unawaza ...'sijui nikajaribu vitumbua hivyo'

Just mfano tu......😛oa
 
hilo ni GALASHA tupilia mbali tafuta mashine mpya.
he is a nice guy,mstaarabu,mpole na muelewa he is kind of a guy alot of ladies would be happy to have him.he is such a good caring man and a husband material....am so confused sijui nimsaidiaje naona kumuacha sio solution.
 
does it means unafanya biashara ya K?
 
Sio kushangaa ni curiosity tu
ni kama vile unapenda vitumbua halafu unasikia kuna vitumbua watu wakila wanarudi tena
na wewe unawaza ...'sijui nikajaribu vitumbua hivyo'

Just mfano tu......😛oa
hahahaha try to help me what to do so that i may help my baeu...
 


Nadhani hiyo ndo njia nzuri zaidi ya kufurahia mahusiano yenu wakati huu ambao hamjaingia kwenye ndoa.. Muhimu ni wewe upate darasa jinsi ya kurudisha Nyani Ngabu's make out / necking ili mwisho wa siku wote wawili mufurahie..

Njia moja salama ya kujikinga na maambukizi na nina shaka jamaa anafikiria zaidi kugonjweka kuliko kupata full starehe..
 
Last edited by a moderator:
Aisee pole sana. Dizain kama mabint hawataki kushare experience zao.
C'mon ladies help ths young grl.
he is a nice guy,mstaarabu,mpole na muelewa he is kind of a guy alot of ladies would be happy to have him.he is such a good caring man and a husband material....am so confused sijui nimsaidiaje naona kumuacha sio solution.
 
does it means unafanya biashara ya K?

Samahanii itakuwa umevusha mawazo yako,umeenda mbali sana,sijawai na sifanyi na wala sitegemei na pia mie ni binadamu kama wewe,nina maisha yakawaida na kwenye swala la mapenzi pia kuna break ups and make ups thats life schedule
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…