Kweli pepo lenu Moja mi naambiwaga saa 2 usiku eti usiku mwema...Hapo kwenye usiku mwema saa 12 nimecheka maana hata mimi nina tabia hiyo. Iko hivi, inaweza kutokea umemmiss mtu and you are dying to talk to him mpeane michapo ya siku then anakuambia anahitaji kupumzika....najikuta kwa hasira namwambia usiku mwema kwa maana kuwa kama hauna nafasi ya kuongea na mimi sasa hivi hata mimi baadae sitakuwa na nafasi pia maana nitapumzika na mimi. Lakini ikitokea ukanitafuta baadae tutaongea tu vizuri labda wewe ndio uamue kufufua kesi au naweza kukutafuta tena mwenyewe hata hiyo baadae. Ulichokosea wewe ni kutomtumia sms tena wakati unaona yupo hewani na yeye akalikuza na hatimaye mmefika hapo mlipofika....kifupi ninyi wote wawili mna visirani na huenda angekutafuta yeye ungemwambia 'si ulinitakia usiku mwema wewe'...wanawake tunapenda kubembelezwa jamani teh. Nawatakieni kila la heri
Mapenzi ya utumwa ndo wale wadada unawasikia nimempa kila kitu lkn kaniacha hamna nilichomkosea,nikimwambia tuyamalize hataki,kaenda kwa mwingine sasa case km hiyo mwanaume anakwambiaje sababu ya kuachana na wewe km sio atakuacha juu kwa juu ubaki unajihisi malaika usiye na bahati.Huo ni utoto tu unamsumbua. Kuna wakati wanawake huwa tunatamani kufikiriwa sisi tu kila muda yaani ile mtu akiamka akuwazie, akienda chooni akuwazie, akiwa na kazi zake aache akufikirie na tunaenda mbali zaidi hatutaki hata wawe na muda na marafiki na jamaa zao yaani all the time wawe na sisi tu. Na ukiona hajakutafuta ndani ya saa chache unamtishia kuachana. Nilikuaga na upumbavu huu ila mtu ukishakua ndo unaona ni upuuzi na ujinga uliopitiliza wenye uselfish ndani yake
Well saidHuo ni utoto tu unamsumbua. Kuna wakati wanawake huwa tunatamani kufikiriwa sisi tu kila muda yaani ile mtu akiamka akuwazie, akienda chooni akuwazie, akiwa na kazi zake aache akufikirie na tunaenda mbali zaidi hatutaki hata wawe na muda na marafiki na jamaa zao yaani all the time wawe na sisi tu. Na ukiona hajakutafuta ndani ya saa chache unamtishia kuachana. Nilikuaga na upumbavu huu ila mtu ukishakua ndo unaona ni upuuzi na ujinga uliopitiliza wenye uselfish ndani yake
Mi nshalalamikaga sana habar ya mpenzi kunitafuta mara moja kwa siku au mbili eti kisa yuko busy yaan bora uninyime ela ila mda wako kwangu niuone...ila hawa wamaume hawajui akitoka job analala anakucheki kesho yake asubuh eti sory nilirudi nimechoka ndomana sikukutafuta..PUMBAVU.Kuna vitu vyaweza kuwa vidogo sana kwako ila kwa mwenzio vina maana sana, wakati mwingine tunapowalalamikia mtuelewe jamani na sio kuchukulia ni ujinga.
HongeraKweli pepo lenu Moja mi naambiwaga saa 2 usiku eti usiku mwema...
Nilichofanya nikatafuta mdada wa kuchat nae pale napoona napewa adhabu ya kipuuzi..
Hiyo approach yenu na ile ya kukomoa kwa kunyima papachu uwaga inafaulu sana mwanzoni mwa mahusiano mpk hapo mwanaume anapoamua kukuona mjinga na kukupuuza na kuondoa attention kwako na kupeleka kwa mtu mwingine na mara nyingi kurudisha attention km ile ya mwanzo kwako uwaga Ni ngumu sana.. hatupendi kuona tunateseka sababu ya mwanamke hata km kweli tunateseka, mwanamke mjanja ata maintain mikwara yake sababu mwanaume kulose interest Ni sekunde tu..
Mkuu yaani hapa cjaelewa kabisa maelezo ya ziada tafadhari !!Our role as women is to see if a man is happy and put a stop to that nonsense
Our role as women is to see if a man is happy and put a stop to that nonsense
BinamuSawa.....una umri gani.?
Mkuu.Kweli humjali, wewe kumpigia simu mpaka utoke kazini ? Ukiwa kazin kunashindikana nini ? Halafu inaonesha ulikuwa huna cha kuongea nae zaidi ya salamu .Bora alivyokuacha unampotezea muda. Mawasiliano ni jambo la msingi katika mahusiano.
Kweli humjali, wewe kumpigia simu mpaka utoke kazini ? Ukiwa kazin kunashindikana nini ? Halafu inaonesha ulikuwa huna cha kuongea nae zaidi ya salamu .Bora alivyokuacha unampotezea muda. Mawasiliano ni jambo la msingi katika mahusiano.