Hahaha... You requested for madness.Kwanza nikiri kuwa mimi ni mwanaume ambaye ni muhanga wa nguvu za kiume, na kutokana na tatizo hilo niliabika mara kadhaa huko nyuma hivyo binafsi nikaamua niwe single mpaka nitakapopata ufumbuzi wa tatizo langu.
Nikiwa katika kusubiri huko ndipo nikakutana na huyu dada ambaye tulikuwa marafiki tu mwanzoni lakini baadae akanifungukia kuwa ananipenda na anataka niwe mpenzi wake, mwanzoni sikumtilia maanani lakini baadaye nilikuja kujua kuwa anamaanisha, nilishindwa kukubali kuwa naye kwa kuhofia kumdissapoint ikabidi nimwambie tu ukweli kuwa nina tatizo a b c, alilia sana siku hiyo kisha akanambia nakupenda hivyo hivyo ulivyo, nikaguna tu nikakausha.
Kiuhalisia sikuweza kumtimizia mahitaji yake ya kimwili hivyo nikatumia tu ujasiri nikamwambia najua wewe ni binadamu na hutokaa hivyo siku zote hivyo ukijisikia genye tafuta mtu akukune lakini nisijue maana itaniuma tu kwa vyovyote, akakataa katakata nikajua tu nadanganywa. Baadaye nikafahamu yupo na mtu nikamuuliza akakubali niliumia sana, narudi.
Hahahaah kwa kesi ya huyu jamaa si atajiua akifanyiwa hivyoMhu halafu anasema bado anamfuata. Ningekuwa mimi naacha anipigie halafu napokea ila siongei naye ili amalize salio. hahahahaha. Mawazo ya kibibi hayo.
Unachekesha mizimuu...Kwanza nikiri kuwa mimi ni mwanaume ambaye ni muhanga wa nguvu za kiume, na kutokana na tatizo hilo niliabika mara kadhaa huko nyuma hivyo binafsi nikaamua niwe single mpaka nitakapopata ufumbuzi wa tatizo langu.
Nikiwa katika kusubiri huko ndipo nikakutana na huyu dada ambaye tulikuwa marafiki tu mwanzoni lakini baadae akanifungukia kuwa ananipenda na anataka niwe mpenzi wake, mwanzoni sikumtilia maanani lakini baadaye nilikuja kujua kuwa anamaanisha, nilishindwa kukubali kuwa naye kwa kuhofia kumdissapoint ikabidi nimwambie tu ukweli kuwa nina tatizo a b c, alilia sana siku hiyo kisha akanambia nakupenda hivyo hivyo ulivyo, nikaguna tu nikakausha.
Kiuhalisia sikuweza kumtimizia mahitaji yake ya kimwili hivyo nikatumia tu ujasiri nikamwambia najua wewe ni binadamu na hutokaa hivyo siku zote hivyo ukijisikia genye tafuta mtu akukune lakini nisijue maana itaniuma tu kwa vyovyote, akakataa katakata nikajua tu nadanganywa. Baadaye nikafahamu yupo na mtu nikamuuliza akakubali niliumia sana, narudi.
Poa, karibunishakaribia mkuu, nimekupm
Nlimsikia sheik kipoozeo anasema unakamulia ndimu moja ndani ya dafu afu unakunywa, kitu inakua imaraOk onetime, vipi unaendeleaje na kutafuta suluhisho...unefikia wapi?
ok let me tryNlimsikia sheik kipoozeo anasema unakamulia ndimu moja ndani ya dafu afu unakunywa, kitu inakua imara
BONYEZA HAPA CHINIKwanza nikiri kuwa mimi ni mwanaume ambaye ni muhanga wa nguvu za kiume, na kutokana na tatizo hilo niliabika mara kadhaa huko nyuma hivyo binafsi nikaamua niwe single mpaka nitakapopata ufumbuzi wa tatizo langu.
Nikiwa katika kusubiri huko ndipo nikakutana na huyu dada ambaye tulikuwa marafiki tu mwanzoni lakini baadae akanifungukia kuwa ananipenda na anataka niwe mpenzi wake, mwanzoni sikumtilia maanani lakini baadaye nilikuja kujua kuwa anamaanisha, nilishindwa kukubali kuwa naye kwa kuhofia kumdissapoint ikabidi nimwambie tu ukweli kuwa nina tatizo a b c, alilia sana siku hiyo kisha akanambia nakupenda hivyo hivyo ulivyo, nikaguna tu nikakausha.
Kiuhalisia sikuweza kumtimizia mahitaji yake ya kimwili hivyo nikatumia tu ujasiri nikamwambia najua wewe ni binadamu na hutokaa hivyo siku zote hivyo ukijisikia genye tafuta mtu akukune lakini nisijue maana itaniuma tu kwa vyovyote, akakataa katakata nikajua tu nadanganywa. Baadaye nikafahamu yupo na mtu nikamuuliza akakubali niliumia sana, narudi.
Kwanza nikiri kuwa mimi ni mwanaume ambaye ni muhanga wa nguvu za kiume, na kutokana na tatizo hilo niliabika mara kadhaa huko nyuma hivyo binafsi nikaamua niwe single mpaka nitakapopata ufumbuzi wa tatizo langu.
Nikiwa katika kusubiri huko ndipo nikakutana na huyu dada ambaye tulikuwa marafiki tu mwanzoni lakini baadae akanifungukia kuwa ananipenda na anataka niwe mpenzi wake, mwanzoni sikumtilia maanani lakini baadaye nilikuja kujua kuwa anamaanisha, nilishindwa kukubali kuwa naye kwa kuhofia kumdissapoint ikabidi nimwambie tu ukweli kuwa nina tatizo a b c, alilia sana siku hiyo kisha akanambia nakupenda hivyo hivyo ulivyo, nikaguna tu nikakausha.
Kiuhalisia sikuweza kumtimizia mahitaji yake ya kimwili hivyo nikatumia tu ujasiri nikamwambia najua wewe ni binadamu na hutokaa hivyo siku zote hivyo ukijisikia genye tafuta mtu akukune lakini nisijue maana itaniuma tu kwa vyovyote, akakataa katakata nikajua tu nadanganywa. Baadaye nikafahamu yupo na mtu nikamuuliza akakubali niliumia sana, narudi.
nikamwambia nilishakupa ruhusa ufanye mambo yako lakini mdogo mdogo nisijue sasa mbona imekuwa hivi tena, nikamwambia basi kama vipi wewe endelea naye tu isiwe tabu maana jinsi hii nitakuwa nalia kila siku kitu ambacho sikitaki, akalia sana, akampigia huyo bwana wake na kumwambia kuwa hamtaki hapo mbele yangu, nikamwambia hiyo zuga tu lazima uwasiliane naye tu, kiufupi nikaamua kukata mawasilino naye, lakini sasa amekuwa kero, kila wakati ni simu..sms muda wote, sasa sifahamu anachotaka kwangu ni nini wakati anajua siwezi mpa anachotaka, namshangaa na sijamuelewa nimemuambia endelea na maisha yako!
Mjanja wako akikufanyia kama unavyowaza kuwa ungemfanyia jamaa utajisikiajeeee!?Mhu halafu anasema bado anamfuata. Ningekuwa mimi naacha anipigie halafu napokea ila siongei naye ili amalize salio. hahahahaha. Mawazo ya kibibi hayo.