ikiwa umeaua kuwaza vyovyote waza tu sitokuzuia maana kichwa ni chakoOk, kumbe kutokusimamisha kwako sio tatizo ok... !!! tatizo ni mrembo!!!! kwa kifupi nadhani wewe ndio tatizo....ukijitambua utaelewa kwanini husimamishi na kwanini mrembo anakushobokea,, sababu hudindishi mwanamke anakuganda....jichunguze mkuu... hakuna mwanaume anayependa kusikia mwamaume mwenzie hasimamishi,, ni fedheha sana.....kuna kitu unaficha hapa...sema tuu....mitandaoni ni kujiachia tuu...
sureMKUU labda ameona kitu kwako maana cku hizi maisha ni magum sana..nkushauri tu km umeshaona kwa mda huu huwez kmtimizia mahitaj mwanamke wala usijihangaishe kuwa na mahusiano ya kazi gan mkuu?we jali mambo yako ona sasa umemwambia mpk matatizo yako unajuaje kama atakutunzia siri zako?maana hapo unaweza kuwa mtumwa kwake ili tu akufichie hyo siri uliomwambia........endelea na maisha yako mpk utpopata ufumbuz wa tatizo lako kama ulivyopanga awali usiruhusu mtu akuharibieplan zako bila mpango
binadam viumbe wa ajabu sana, hata punda ukimsaidia mzigo anashukuru!nikamwambia nilishakupa ruhusa ufanye mambo yako lakini mdogo mdogo nisijue sasa mbona imekuwa hivi tena, nikamwambia basi kama vipi wewe endelea naye tu isiwe tabu maana jinsi hii nitakuwa nalia kila siku kitu ambacho sikitaki, akalia sana, akampigia huyo bwana wake na kumwambia kuwa hamtaki hapo mbele yangu, nikamwambia hiyo zuga tu lazima uwasiliane naye tu, kiufupi nikaamua kukata mawasilino naye, lakini sasa amekuwa kero, kila wakati ni simu..sms muda wote, sasa sifahamu anachotaka kwangu ni nini wakati anajua siwezi mpa anachotaka, namshangaa na sijamuelewa nimemuambia endelea na maisha yako!
niliyoandika ndio yanayonisibu, unafikiri nimeficha chochote?Ebu funguka shida yako zaidi humu kuna madokta asilia na wakisasa ww kuwa huru kama kuna mtu unahsi anakujua zaidi kwa hii id na unataka privacy njoo na id mpya ufunguke upate msaada
nikamwambia nilishakupa ruhusa ufanye mambo yako lakini mdogo mdogo nisijue sasa mbona imekuwa hivi tena, nikamwambia basi kama vipi wewe endelea naye tu isiwe tabu maana jinsi hii nitakuwa nalia kila siku kitu ambacho sikitaki, akalia sana, akampigia huyo bwana wake na kumwambia kuwa hamtaki hapo mbele yangu, nikamwambia hiyo zuga tu lazima uwasiliane naye tu, kiufupi nikaamua kukata mawasilino naye, lakini sasa amekuwa kero, kila wakati ni simu..sms muda wote, sasa sifahamu anachotaka kwangu ni nini wakati anajua siwezi mpa anachotaka, namshangaa na sijamuelewa nimemuambia endelea na maisha yako!
niwekee namba yake pmMe msaaada nawea kukupa kabisaa na huyo Dokta yuko Congo (zaire) huwa anakujaga huku Mwanza Dar Arusha huwaga anawateja wake anawatibu anazo dawa mzeee ukionja tuu glass moja mweeeeeeeeeeeeeeeee mbona maisha yako rahaaaa kabisaaaaaaa, Funguka nikupe namba yake ya simu ya huko Congo
Mh! Pole sana... sasa unaumiaje na ulimruhusu mwenyewe... MweKwanza nikiri kuwa mimi ni mwanaume ambaye ni muhanga wa nguvu za kiume, na kutokana na tatizo hilo niliabika mara kadhaa huko nyuma hivyo binafsi nikaamua niwe single mpaka nitakapopata ufumbuzi wa tatizo langu.
Nikiwa katika kusubiri huko ndipo nikakutana na huyu dada ambaye tulikuwa marafiki tu mwanzoni lakini baadae akanifungukia kuwa ananipenda na anataka niwe mpenzi wake, mwanzoni sikumtilia maanani lakini baadaye nilikuja kujua kuwa anamaanisha, nilishindwa kukubali kuwa naye kwa kuhofia kumdissapoint ikabidi nimwambie tu ukweli kuwa nina tatizo a b c, alilia sana siku hiyo kisha akanambia nakupenda hivyo hivyo ulivyo, nikaguna tu nikakausha.
Kiuhalisia sikuweza kumtimizia mahitaji yake ya kimwili hivyo nikatumia tu ujasiri nikamwambia najua wewe ni binadamu na hutokaa hivyo siku zote hivyo ukijisikia genye tafuta mtu akukune lakini nisijue maana itaniuma tu kwa vyovyote, akakataa katakata nikajua tu nadanganywa. Baadaye nikafahamu yupo na mtu nikamuuliza akakubali niliumia sana, narudi.
nishakaribia mkuu, nimekupmJe umepata tiba?
Je tatizo lilianza ukubwani??
Je upo tayari kusaidiwa pindi ukieleza tatizo lako kiundani?
Karibu....!
Anakuganda sababu huna madhara kwakehilo haliniumizi sijamuelewa tu kwanini ananiganda
kwani kutiana ni madhara, badilisha mtazamo wakoAnakuganda sababu huna madhara kwake
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kwa hiyo umejitekenya na kucheka mwenyewe? Ruksa utoe wewe halafu uumie wewe kwa nini uliintertain mambo ambayo huna uwezo nayo? Tafakari, chukua hatua.
Ahsante kwa ushauri mkuuAsikuumize kichwa huyo, wekeza nguvu na akili katika kutatua tatizo lako.
Hahahaah katoa ruhusa halafu analalamika.....!!Kwa hiyo umejitekenya na kucheka mwenyewe? Ruksa utoe wewe halafu uumie wewe kwa nini uliintertain mambo ambayo huna uwezo nayo? Tafakari, chukua hatua.
heeeeeKwanza nikiri kuwa mimi ni mwanaume ambaye ni muhanga wa nguvu za kiume, na kutokana na tatizo hilo niliabika mara kadhaa huko nyuma hivyo binafsi nikaamua niwe single mpaka nitakapopata ufumbuzi wa tatizo langu.
Nikiwa katika kusubiri huko ndipo nikakutana na huyu dada ambaye tulikuwa marafiki tu mwanzoni lakini baadae akanifungukia kuwa ananipenda na anataka niwe mpenzi wake, mwanzoni sikumtilia maanani lakini baadaye nilikuja kujua kuwa anamaanisha, nilishindwa kukubali kuwa naye kwa kuhofia kumdissapoint ikabidi nimwambie tu ukweli kuwa nina tatizo a b c, alilia sana siku hiyo kisha akanambia nakupenda hivyo hivyo ulivyo, nikaguna tu nikakausha.
Kiuhalisia sikuweza kumtimizia mahitaji yake ya kimwili hivyo nikatumia tu ujasiri nikamwambia najua wewe ni binadamu na hutokaa hivyo siku zote hivyo ukijisikia genye tafuta mtu akukune lakini nisijue maana itaniuma tu kwa vyovyote, akakataa katakata nikajua tu nadanganywa. Baadaye nikafahamu yupo na mtu nikamuuliza akakubali niliumia sana, narudi.
Mhu halafu anasema bado anamfuata. Ningekuwa mimi naacha anipigie halafu napokea ila siongei naye ili amalize salio. hahahahaha. Mawazo ya kibibi hayo.Hahahaah katoa ruhusa halafu analalamika.....!!