Simuelewi huyu mwanamke

Mkuu samahani,hivi umewahi kuwasiliana na mshana jr? Kama bado fanya hivyo tafadhali. I know him,he can do something better for you.
 
Kama mzigo hupigi yanawezaje kuitwa mahusiano ya kimapenzi?

Kama vipi uwe unapiga mzigo gizani (Tafuta sex toys)
 
Umeshaeleweka mkuu, USIRUDI
 
mkuu pole sana......hao hata ukiwa rijali ni wasumbufu tuuu.... twende kwenye tatizo lako kaka, umeenda kwa wataalamu wakakuambiaje.???... inuka utafute tiba mkuuu...tatizo ni huna nguvu au haudindishi....kuna wataalamu wanaweza hayo ...ni wewe mwenyewe kujibidiisha tuu.
 
Mkuu onetime hata kamoja hupigi? Aisee ni hivyo toka umezaliwa au tatizo limetokea ghafla...tupe nini chanzo cha tatizo
 
haisimami sawa mkuu, najua nitakuwa sawa lakini hapa tatizo ni huyu mrembo
 
MKUU labda ameona kitu kwako maana cku hizi maisha ni magum sana..nkushauri tu km umeshaona kwa mda huu huwez kmtimizia mahitaj mwanamke wala usijihangaishe kuwa na mahusiano ya kazi gan mkuu?we jali mambo yako ona sasa umemwambia mpk matatizo yako unajuaje kama atakutunzia siri zako?maana hapo unaweza kuwa mtumwa kwake ili tu akufichie hyo siri uliomwambia........endelea na maisha yako mpk utpopata ufumbuz wa tatizo lako kama ulivyopanga awali usiruhusu mtu akuharibieplan zako bila mpango
 
haisimami sawa mkuu, najua nitakuwa sawa lakini hapa tatizo ni huyu mrembo

Ok, kumbe kutokusimamisha kwako sio tatizo ok... !!! tatizo ni mrembo!!!! kwa kifupi nadhani wewe ndio tatizo....ukijitambua utaelewa kwanini husimamishi na kwanini mrembo anakushobokea,, sababu hudindishi mwanamke anakuganda....jichunguze mkuu... hakuna mwanaume anayependa kusikia mwamaume mwenzie hasimamishi,, ni fedheha sana.....kuna kitu unaficha hapa...sema tuu....mitandaoni ni kujiachia tuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…