ahsante piaKwa hiyo umejitekenya na kucheka mwenyewe? Ruksa utoe wewe halafu uumie wewe kwa nini uliintertain mambo ambayo huna uwezo nayo? Tafakari, chukua hatua.
hilo haliniumizi sijamuelewa tu kwanini ananigandaUnaumia nini sasa wakati huwezi hata kupiga mzigo
Yawezekana una mvuto kwake, una maisha mazuri, una haiba nzuri, unajali kasoro ni hiyo moja tu. Jiangalie unaweza ukataka kuchovya walipochovya wenye miiba isiyotumbuka.ahsante pia
binafsi nishaachana naye tatizo lililobaki ni usumbufu sasaSasa unaendelea kumweka wa kazi gani?
kwanza, hajawahi kuniomba hela hata siku moja wakati tupo pamoja wala sijawahi kumpa hela zaidi akija geto nimpe hela apike basiHahahahaa anataka pesa maana ulimhonga sana hujui tu
hata sijali, mwache aseme tu atakavyo, nahitaji tu uhuru aache kunisumbua lakini ndo haelewi hata kidogoDah! Inahitaji ujasiri kinoma kukiri udhaifu kama huo. Props for that, man.
Huyo mwanamama kwa namna nilivyosoma, ukiendelea na msimamo wako wa kuachana(which is the best option), atatumia udhaifu wako against you. So, jiandae kutukanwa, vijembe, na kutangaziwa. Take heart, my brother.
hata sijali, mwache aseme tu atakavyo, nahitaji tu uhuru aache kunisumbua lakini ndo haelewi hata kidogo
Na iwe hivyoU r such a gentleman..Mungu akutie ngv maisha ya mbelen mwe..