Simuelewi huyu kimwana.

Msichana anayetaka uhakika kama nampenda atafute neno tofauti la kuniambia, siyo kunitamkia kuwa ana mtu na wanapendana sana... Kwangu mimi sentensi ya hivo inani-turn off na nitakuchukulia kama dadaangu, hakuna namna utanipata tena.. Kama unahitaji mda mwambie mtu, hauko tayari au unahitaji mda, nk. Lkn siyo kunijengea picha kuwa kuna mtu mnapendana sana kumbe unavuta mda sijui kufikiria au kunichunguza, hamna kitu hapo... wizi mtupu.. Kuna watu ukifanya hivyo imekula kwako.
we unapenda mteremko! Wako warembo wanavaa engagement ring na pete za ndoa kumbe hawana hata boyfrend. Mi hata uniambie unawatoto wawili, au una mchumba wa muda mrefu na mnapendana sana, mi nakupa kitongozo hivyo hivyo nikishakula ndo nitajua ustaarabu mwingine! Msiwe mnakata tamaa kirahisi. Mambo mazuri hayataki haraka
 
Habari zenu jf!kuna mdada mmoja hvi nilimpigaga sound kama miezi miwil imeisha pita,akantolea nje then akanipa sababu yake kubwa ambayo na mimi niliiona ni ya muhimu sana kwamba alikua na boyfriend wake wa muda mrefu na wanapendana sana,well mm nkaridhka na majibu yake nkampotezea na kuendelea na maisha yangu,sasa cha kushangaza cku za hvi karbuni amekua na tabia ya kunipigia cm mara kwa mara tena muda wa ucku,ananiambia eti ananimiss sana na huwa anaipenda sauti yangu hvo anapenda mara kwa mara kuickia...me huwa namjbu 2 asante!sasa wakuu huyu kidosho ana maansha nin kunambia hvo na wkt alishaga nchinjia baharin?
hawa viumbe wanakuwaga hawaeleweki-mmi naona kama bado una m-feel-rudisha majeshi this time atakubali
 
kama haumtaki niPM number yake mie niendeleze.kitu kinakuja chenyewe halafu wewe unaanza malingo?
 
we unapenda mteremko! Wako warembo wanavaa engagement ring na pete za ndoa kumbe hawana hata boyfrend. Mi hata uniambie unawatoto wawili, au una mchumba wa muda mrefu na mnapendana sana, mi nakupa kitongozo hivyo hivyo nikishakula ndo nitajua ustaarabu mwingine! Msiwe mnakata tamaa kirahisi. Mambo mazuri hayataki haraka
Mkuu heshima sana. Ruksa kuwa na mitazamo tofauti. Hakuna anayependa mteremko, nimesema kama anahitaji mda kufanya maamuzi atafute maneno ya kusema siyo eti ana mtu na wanapendana sana.. Wewe labda unatafuta bidada wa kugonga na kusepa, hujali atakukubali lini anakukataa leo unatafuta mwingine unapozea yeye unamuweka kiporo siku akijileta unatafuna unakula kona! Sasa jiulize, siku atatokea mtu sahihi mwenye future naye anaendeleza tabia za uongo oh nina mtu tunapendana, siju nini na kila aina ya uongo, Ndo maana wengine tunapenda msichana ajiamini na awe huru kufanya maamuzi yake, siyo nimfuatilie kama hana hisia zozote kwangu. Nimekupenda, chukua mda wako pima, kama una hisia na mimi fine, huna sepa.
 
Back
Top Bottom