Simuelewi huyu kimwana.

kaa apo sasa na hayo matongotongo usoni, soma alama za nyakati. kipindi unamtongoza alikuwa na mtu akidhani kwamba watafika mbali kumbe jamaa alikuwa anakula kisela na unavyoona karudi kwako jamaa keshakula kasepa so majeshi anataka kuhamishia kwako.issue sio ngumu hiyo, kuwa mtoto wa mjini bwana, hivi hujawah kutana na demu kwenye daladal au kumpa lifti kwenye gari lako then ukachukua namba asubuh. mchana ukampa lunch, jion ukampigia kumuuliza upo wapi akakujib yupo home, akakuelekeza ukaenda karibu na baa apo mtaani kwao akaja mkapata moja moto moja baridi,ukashika makono ukaenda dukani kwa mangi ukabeba kondomu sambili usiku ukaenda gest kugonga huku mkiwa mmekole akiraji kimtindo.saanne usiku ikamrudisha kwao. then ukafuta na namba. yani demu umekutana naye ndani ya massaa kadhaa mpo gest unachapa humjui hakujui yan daladala au lifti ndo imewakutanisha.
khaaaaaaah,we jamaaaa!!
 
Huyo anakutaka sema aliona noma kukubali haraka,kama unamtaka live na bado hujapata mwingine,then huyo ameshakubali.Tatizo la mademu wengi huwa ni wazito kutoa maamuzi haraka,inawezekana hana mtu ila alikuwa anakupima utakaza kiasi gani..
 
mkuu unajua bima?amekugeuza bima ili plan A ikikwama plan B unaingia
 
Habari zenu jf!kuna mdada mmoja hvi nilimpigaga sound kama miezi miwil imeisha pita,akantolea nje then akanipa sababu yake kubwa ambayo na mimi niliiona ni ya muhimu sana kwamba alikua na boyfriend wake wa muda mrefu na wanapendana sana,well mm nkaridhka na majibu yake nkampotezea na kuendelea na maisha yangu,sasa cha kushangaza cku za hvi karbuni amekua na tabia ya kunipigia cm mara kwa mara tena muda wa ucku,ananiambia eti ananimiss sana na huwa anaipenda sauti yangu hvo anapenda mara kwa mara kuickia...me huwa namjbu 2 asante!sasa wakuu huyu kidosho ana maansha nin kunambia hvo na wkt alishaga nchinjia baharin?

kosa ni lako wewe..alikua anapima imani na mapenzi yako kwake.. ilibidi uendelee muhangaikia... ila kwa vile karudi... maliza kabisa.. ila ukipiga tu muache kwani ninahisi ni kakicheche...
 
Kwanini usimuulize YEYE anachomaanisha?! Hapa hamna mwenye jibu la uhakika...kila mtu anahisi ahisivyo.Muuloze mhusika!!

mmmhhhhhh.....!!!!???... lizzy hako kadada ni ka kicheche na kanataka kupigwa.... afu usiseme naropoka.. huo ndio ukweli
 
Habari zenu jf!kuna mdada mmoja hvi nilimpigaga sound kama miezi miwil imeisha pita,akantolea nje then akanipa sababu yake kubwa ambayo na mimi niliiona ni ya muhimu sana kwamba alikua na boyfriend wake wa muda mrefu na wanapendana sana,well mm nkaridhka na majibu yake nkampotezea na kuendelea na maisha yangu,sasa cha kushangaza cku za hvi karbuni amekua na tabia ya kunipigia cm mara kwa mara tena muda wa ucku,ananiambia eti ananimiss sana na huwa anaipenda sauti yangu hvo anapenda mara kwa mara kuickia...me huwa namjbu 2 asante!sasa wakuu huyu kidosho ana maansha nin kunambia hvo na wkt alishaga nchinjia baharin?
Hapo kwenye red sijaelewa
 
Sifikiri kama tunamtendea haki huyo binti kwa kumfikiria kuwa ni kicheche, anakufanya kama bima, plan A na B, Alokuwa naye kamtema sasa anakwenda kwa mwengine....na shutuma kama hizo.
Mimi nabaki na waliotoa maoni kuwa wasichana wanahitaji uhakika na usalama, pamoja na kukimbia dhana ya kuwa akikubali haraka ataonekana malaya.
Mkuu, ikiwa hivyo kupigiwa simu, kukwambia anakumiss na kupenda sauti yako kunakupa dalili ya kuwa amebadili mawazo, na ikiwa wewe unampenda, jipange upya na umteke moyo awe wako. Ikiwa huna haja naye, basi chunga heshima yako na yake kwa kuepuka "kumchukua, kumtumia na kumtema".
 
mpe kitu roho inapenda maneno mazuri na mawazo mazuri...sex not allowed..
 
huyo mchukue mpeleke chumbani
mvue nguo zote mpige vidole kisha mwambie avae nguo zake aende asije akachafua dude lako bure...alipiga teke pochi la mzungu akati lina madola lazma ajutie mshenzi huyo imekula kwako ha2bembelez wanaume wa ckuhizi ukilinga 2pa kule
 
Msichana anayetaka uhakika kama nampenda atafute neno tofauti la kuniambia, siyo kunitamkia kuwa ana mtu na wanapendana sana... Kwangu mimi sentensi ya hivo inani-turn off na nitakuchukulia kama dadaangu, hakuna namna utanipata tena.. Kama unahitaji mda mwambie mtu, hauko tayari au unahitaji mda, nk. Lkn siyo kunijengea picha kuwa kuna mtu mnapendana sana kumbe unavuta mda sijui kufikiria au kunichunguza, hamna kitu hapo... wizi mtupu.. Kuna watu ukifanya hivyo imekula kwako.
 
huyo mchukue mpeleke chumbanimvue nguo zote mpige vidole kisha mwambie avae nguo zake aende asije akachafua dude lako bure...alipiga teke pochi la mzungu akati lina madola lazma ajutie mshenzi huyo imekula kwako ha2bembelez wanaume wa ckuhizi ukilinga 2pa kule
khaaaah!!broh wizo,huo c unyama lakn?
 
Msichana anayetaka uhakika kama nampenda atafute neno tofauti la kuniambia, siyo kunitamkia kuwa ana mtu na wanapendana sana... Kwangu mimi sentensi ya hivo inani-turn off na nitakuchukulia kama dadaangu, hakuna namna utanipata tena.. Kama unahitaji mda mwambie mtu, hauko tayari au unahitaji mda, nk. Lkn siyo kunijengea picha kuwa kuna mtu mnapendana sana kumbe unavuta mda sijui kufikiria au kunichunguza, hamna kitu hapo... wizi mtupu.. Kuna watu ukifanya hivyo imekula kwako.
sawa sawa mkuu...
 
Back
Top Bottom