Young Tanzanian
JF-Expert Member
- Mar 10, 2012
- 1,736
- 293
kama kusoma hujui na pcha huwezi kuiona...tembea mbele umeingia njia ya mateja ...unapoteza mda wako au unaitwa heineken?Kuna kaka alitokea kunipenda nami nikampenda hana dalili ya upendo hata kidogo.
Nikimuuliza anasema mpaka tufanya mapenzi kwanza pia hataki kujua jina langu ananiita mpenzi au mke wangu na mara kwa mara huwa mimi ndio nampigiaga simu nikikaa kimya inaweza ikapita wiki tatu bila mawasiliano.
Ikitokea tukionana ndo hujifanya ananipenda nakutaka anichumu sasa kilichonichosha kabisa ni siku niliyoangalia simu yake amenisave nani, nilikuta kaandika heineken.
After all nikimwambia tuonane anataka tuonane wakati wagiza nikimuuliza kaniacha? anakataa, nisaidieni nimwache mimi? Ni miezi 6 sasa lakini haeleweki.
Kuna kaka alitokea kunipenda nami nikampenda hana dalili ya upendo hata kidogo.
Nikimuuliza anasema mpaka tufanya mapenzi kwanza pia hataki kujua jina langu ananiita mpenzi au mke wangu na mara kwa mara huwa mimi ndio nampigiaga simu nikikaa kimya inaweza ikapita wiki tatu bila mawasiliano.
Ikitokea tukionana ndo hujifanya ananipenda nakutaka anichumu sasa kilichonichosha kabisa ni siku niliyoangalia simu yake amenisave nani, nilikuta kaandika heineken.
After all nikimwambia tuonane anataka tuonane wakati wagiza nikimuuliza kaniacha? anakataa, nisaidieni nimwache mimi? Ni miezi 6 sasa lakini haeleweki.
Kuna kaka
alitokea kunipenda nami nikampenda hana dalili ya upendo hata kidogo.
Nikimuuliza anasema mpaka tufanya mapenzi kwanza pia hataki kujua jina
langu ananiita mpenzi au mke wangu na mara kwa mara huwa mimi ndio
nampigiaga simu nikikaa kimya inaweza ikapita wiki tatu bila
mawasiliano.
Ikitokea tukionana ndo hujifanya ananipenda nakutaka anichumu sasa
kilichonichosha kabisa ni siku niliyoangalia simu yake amenisave nani,
nilikuta kaandika heineken.
After all nikimwambia tuonane anataka tuonane wakati wagiza nikimuuliza
kaniacha? anakataa, nisaidieni nimwache mimi? Ni miezi 6 sasa lakini
haeleweki.
[SIZE=3?
Njoo kwangu nikupe upendo wa dhat kwani hata mm nimeshayapata kama nichek kama vipi