mama watoto wengi
Member
- Jan 9, 2013
- 39
- 30
Habarini wanajamvini.
Mimi nina mpenzi wangu ambae naweza sema tunapendana sana sasa kabla hajawa na mie aliwahi kuwa na mpenzi wake yaani gf kwa maana hiyo baada ya kuachana na yule ndipo alipokuja kwangu na bahati mbayamimi sikuwahi kumjua huyo dada nilikuja mjua baada ya yeye kuanza kunitafuta na kunitukana kwa meseji .
kinachoniuma mie huyu dad amekuwa sio mstaarabu kabisa ananizushia mambo ya kila aina hasa kwa watu ambao mie naheshimiana nao ..jmatatu ya juzi ameenda kumwambia mtu naeheshimiana nae kwamba mimi mchawi na hata huyu bwana nilimpata kichawi na mbaya zaidi ananitishia amenifayia kitu kibaya sitazaa mpaka nakufa .
Ndgu zangu nafikiria nimfanyeje sipati jibu maan umepita muda mrefu zaidi ya mwaka ila yeye haachi kuchafua jina langu na kunikashifu uvumilivu wa kukaa kimya unakaribia kunishinda na mbay zaidi anadai huyo ni mume wake wakati sio kweli walikuwa tu gf na bf hata kutambulishana tu hiyo hatua hawakufika na hawakuwahi kuishi pamoja hata siku moja .
Mbaya zaidi huyu dada alishafikia hatua ya kwenda kuiba kila kitu kwa huyu jamaa na akaiba fedha benki zaidi ya milioni moja akisema anamkomesha maana hatukuwa tunajua kama ni mtu mbaya hivyo hatukuona umuhimu wa kubadili vitasa vya nyumb kumbe alikuwa ameshachongesha funguo za ziada kipindi wako wote katunza kwao baada ya kuachwa akafanya huo nyama halafu ni msumbufu sana tena sana ni kama analazimishia mapenzi ila mie kinachonichefua ni huku kuchafua jina langu.
Naombeni ushaui wenu nimshtaki au nifanyeje ikumbukwe huyu dada alishawahi kuwa na mwanaume mwingine na wakazaa mtoto ila kaachika pia