Simuelewi huyu dada ananifuatilia

Simuelewi huyu dada ananifuatilia

Kukufollow instagram sio tatizo kabisa na kukurequest fb nalo sio tatizo, tatizo kama anacoment vibaya au anakutukana. Inaonekana bado unampenda sana na umejitenga nae ili upunguze machungu ya kumuona yupo na mwingine. Mawasiliano sio ugomvi mwaweza kuwa marafiki tu baada ya kuachana.

Hujamwelewa mleta mada, anachosema ni kwamba anayemfuatilia ni mpenzi wa x wake!
 
Labda unamsemaga na kumsimanga kwenye hizo "follow me"
 
Miaka ya nyuma nilikuwa na mahusiano na mpenzi wangu tulibahatika kupata mtoto 1 lakini bahati mbaya tulikuja achana kila mtu akaendelea na maisha yake, huyu mzazi mwezangu akaja kupata mwanamke.

Sasa nakuja kushangaa huyu mwanamke anapenda sana kunifwatilia kwenye mitandao ya kijamii hivi ninavyoandika kani request kwenye FB kwa mara ya pili, instagram alini follow sasa sijui ni nini tatizo kwa wale wenye kujua ni nini lengo la huyu mwana mama mana nishamchoka.
Nimesoma kwa kurudia rudia rudia nimeshindwa kuelewa jinsia yako mtoa mada. Nakunukuu " Miaka ya nyuma nilikuwa na mahusiano na mpenzi wangu tulibahatika kupata mtoto 1 lakini bahati mbaya tulikuja achana na kila mtu akaendelea na maisha yake, huyu mzazi mwenzangu akaja kupata mwanamke" . Mwisho wa kunukuu.
Ajabu unaendelea kwa kusema nanukuu tena" Sasa nakuja kushangaa huyu mwanamke anapenda sana kunifuatilia.....
Kwa mkanganyiko huo nimeshindwa kujua kuwa wewe ni ke au me. Jipambanue tafadhali.
 
Yeye ni ke, mwanamke wa x wake ndiye anayemfatilia.

In short mke mwenzake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom