Kama pesa ya mahari alilipa yote hadaiwi kitu inamtosha, kwanza mzee anatakiwa amshukuru jamaa maana amempunguzia bajeti ya chakula, mavazi na matibabu nyumbani kwake?
Aisee unapata wapi muda wa kuonanaq na baba mkwe ?? Mimi nilipotoa mahal kisha sendoff ya wife aisee ilipita almost 2 years sijaonana na wakwe.Ila wajukuu nawapelekea wakawasalimie na mama yao ndio anakwenda nao mara moja moja

Sasa unataka uongee nini na baba mkwe mkuu basi ukitaka hivyo mpe issue za kupata pesa hapo ndo mtakuwa na mazungumzo marefu.
Mimi siyo mkwe tu hata baadhi ya ndugu nikikutana nao kama baada ya salamu wao hawajaanza mazungumzo basi hapo tutabaki tunatizamana maana huwa sina cha kumsemesha mtu na kama ana mambo ya maana ya kuzungumza nitachangia kama hana napiga kimya,ni aina tu ya watu wako hivyo usichukulie ubaya.