Simuelewi anataka nini

Simuelewi anataka nini

Quan Lup

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2016
Posts
710
Reaction score
1,006
Hope mko salama,

Niko na mahusiano na mwanamke kwa miezi 5 sasa, mwanzoni tulikua tupo vizuri tuu calling , chatting, sex etc.

Sasa mwezi huu mwanzoni akanza kufanya vitimbwi, visa vya ajabu ajabu, mara unaongea naye kwenye simu kidogo anakwambia ana usingizi, message hajibu kwa wakati, sometimes anaweza kuona missed call asikutafute kabisa, na status anapost na yuko online.

Ukimuuliza nini shida, anasema hakuna shida! Yaani akawa kama yupo tuu, alikua ananiita bby, mara akaanza kuniita ndugu yangu, mara boss etc.

Sasa nikaamua kufanya maamuzi ya ku move on, maana niliona kabisa hakuna tena mapenzi, nikaamua kukaa kimya kabisa nikawa simtafuti tena, wala kumpigia tena simu.

Akaanza kunitumia message mbona kimya tatizo ni nini, nikawa sijibu, akipiga sipokei.

Sasa kilichonileta hapa ni hiki, kila siku lazima anitumie ujumbe wa usiku mwema my love, na asubuhi hivyo hivyo, ana siku karibu tisa anafanya hivyo na sijawahi mjibu hata siku moja na hachoki.

Kuna upendo hapa wadau?
 
Hope mko salama,

Niko na mahusiano na mwanamke kwa miezi 5 sasa mwanzoni tulikua tupo vizuri tuu calling , chatting, sex etc

Sasa mwezi huu mwanzoni akanza kufanya vitimbwi visa vya ajabu ajabu mara unaongea nae kwenye simu kidogo anakuambia ana usingizi, message hajibu kwa wakati, sometimes anaweza kuona missed call asikutafute kabisa na status anapost na yuko online ukimuuliza nn shida anasema hakuna shida yaani akawa kama yupo tuu.. alikua ananiita bby mara akaanza kuniita ndugu yangu mara boss etc

Sasa nikaamua kufanya maamuzi ya ku move on maana nilionq kabisa hakuna tena mapenzi, nikaamua kukaa kimya kabisa nikawa simtafuti tena, wala kumpigia tena simu.

Akaanza kunitumia message mbona kimya tatizo ni nni nikawa sijibu , akipiga sipokei,

Sasa kilichonileta hapa ni hiki
Kila siku lazima anitumie ujumbe wa usiku mwema my love, na asubuhi hvo hvo ana siku karibu tisa anafanya hvo na sijawahi mjibu hata siku moja na hachoki

Kuna upendo hapa wadau ?
Mpe hela, inaonekana umepunguza matumizi
 
Nina experience ya hiyo kitu. She is seeing other guy. Ndio maana mwingine Haku-address kama mpenzi. Achana naye. Hiyo tabiaa haji kuacha.
 
Hope mko salama,

Niko na mahusiano na mwanamke kwa miezi 5 sasa mwanzoni tulikua tupo vizuri tuu calling , chatting, sex etc

Sasa mwezi huu mwanzoni akanza kufanya vitimbwi visa vya ajabu ajabu mara unaongea nae kwenye simu kidogo anakuambia ana usingizi, message hajibu kwa wakati, sometimes anaweza kuona missed call asikutafute kabisa na status anapost na yuko online ukimuuliza nn shida anasema hakuna shida yaani akawa kama yupo tuu.. alikua ananiita bby mara akaanza kuniita ndugu yangu mara boss etc

Sasa nikaamua kufanya maamuzi ya ku move on maana nilionq kabisa hakuna tena mapenzi, nikaamua kukaa kimya kabisa nikawa simtafuti tena, wala kumpigia tena simu.

Akaanza kunitumia message mbona kimya tatizo ni nni nikawa sijibu , akipiga sipokei,

Sasa kilichonileta hapa ni hiki
Kila siku lazima anitumie ujumbe wa usiku mwema my love, na asubuhi hvo hvo ana siku karibu tisa anafanya hvo na sijawahi mjibu hata siku moja na hachoki

Kuna upendo hapa wadau ?
Wote me naona mna akili za kitoto.
Watu wazima uzungumza na kufikia muafaka na kila mtu kujua nafasi yake
 
Hakuna haja ya kujua muafaka alichokua anafanya anajua fika so ukimya wangu utakua ushampq majibu kuwa nimeamua ku move on
 
Anataka asikupoteze wewe na kule alipo pia asipapoteze. Hivyo anataka kudhibiti au kushikilia sehemu mbili kwa wakati mmoja lakini sehemu ile ya kule inaonekana ina nguvu kushinda ya kwako.
 
Back
Top Bottom