ati brein konkasheni jamani hadi kwenye nanliu kuna brein konkasheni kazi kweliYaani umepungua kilo 20!!! kweli umefanya jitihada aisee...
Turudi kwenye topic, hapo dada ninahisi unapotezewa muda, kama anapenda wasichana wenye miili ya kawaida kwa nini alikutafuta wewe mnene...
Kama bado unampenda na hutaki kuachana naye binafsi nakushauri hamia plan B....hakikisha kunako 6 x 6, una mpa mambo mpaka anapata breini konkasheni in that way hatajali sana umbo lako...
ati brein konkasheni jamani hadi kwenye nanliu kuna brein konkasheni kazi kweli
Habarini wakuu!!?
Mi ni binti ambaye natarajia kuitwa mke wa mtu mwisho wa mwaka, nko na mpenzi wangu kwa muda wa mwaka mmoja, Ila simuelewi kabisa wakat ananitaka nilikuwa mnene sana tu tulivyoanza mahusiano akasema nipungue coz marafik zke wote wake zao ni wembamba.Nimehangika sana kutumia madawa na mazoezi kiasi cha kwamba nimepungua kilo 20!!!
Eti sa hv ananiambiwa nimekuwa mwembamba sana mpaka anaona aibu kutoka out na mim,nisaidieni sielew anataka nin???
kweli kabsa nakuunga mkono kwani mpenda chongo huona.................na kipenda roho hula nyama mbichi.Akupendae haoni kasoro
Mhhhhh ndugu yangu iliwahi kukukuta nini?maanake sio msisitizo huo!!!!!Ipo sana mkuu, achana kabisa ukikutana na kigoli anayejua kisusumbe vizuri....mbona utahisi kama kucha zataka kunyofoka!!!
Maana maungo yote yanakua yanatetemeka kama injini ya trekta!!