Simuamini tena mke wangu!

Hata huo umbali uliopo kati yenu unatosha kumfanya mkeo ajiimarishe kwao.
 
naomba no yake ya simu nimshauri vizuri labda umeshindwa kuongea nae vizuri
 

Iisee for money haina noma kama ulimkuta kasomeshwa mbya kama na KIDUMU hiyo noumer.
 
Mwanamme anaependa kuteleza utamjua tuu! hahahahaaaa.....kidding!. ameeleza kweli huyo baby hapo juu

Bila kuteleza michubuko bhana!!!!!!!

Yaaani kweli pato la.mke liishie kwa braider na pedicure!!!
Familia mipango mamy sio club ya tendo la ndoa kula na kulala ni unit for production and consumption sasa kama jitu kupe hata unapoomba msaada mpaka tindo!!!!!!!

Ha ha haaaa kuna rafiki yangu anawaita kota pini yaani kuingia nyundo na kutoka nyundo!!!!
 

Dah kila nikisoma hizi posts zako naona huzuni! Inaelekea wewe mstaarabu sana. Nakushauri usikate tamaa na huyu mke, mna watoto!
 
Mkuu, mi nakushauri hivi, mwambie aache kazi na awe mama wa nyumbani, hi italeta heshima hata kwao cause hadi pichu itanunuliwa kwa cost code yako.

Mazindu huu ni unyanyasaji aisee! kuomba hela ya kufuli, saloon, pads, wanja , lipstick, perfume, we mwnyw utachemka lol! Utasema bora angekuwa na kazi ajihudumie mwnyw
 

Wachukue watoto kisiri na ukafanye DNA. Baada ya kupata majibu ndio fanya maamuzi magumu. Kama ni wa kwako mwambie aanze mbele akakae na ndugu zake anakotuma pesa kuliko kumlipia mwanae. Kama si wa kwako, yeye na watoto waanze mbele uone kama hatatoa hiyo pesa.

Hivi wewe ndugu zako unawatumia pesa? Tuma tena si lazima kila wakati ajue umetuma. Ukitaja issue ya DNA, akili yake mbona itarudi kwenye mstari!
 
Haya ni matatizo ya kufunga ndoa na kutokuishi pamoja.

Hyo jeuri ya kukujibu hivyo anaitoa wapi lolz?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Sijawahi kuacha kutekeleza majukumu yangu km baba wife nilimwambia mapema kuhusu swala la ada na mipango ya mwezi huu hata ya mwezi ujao anaijua vema kabisa lkn leo ndo tulienda benki nikamwambia ndo ugomvi ukawa mkubwa nimekausha mpaka ss baada ya kuona msimamo wangu anadai tujadiliane na tupange sijasema lolote!
 
Mnajulikana chako chako changu cha familia sio fair.

Msinung'unike sana, ndiyo mgawanyo wa majukumu! Khaa mmezidi sasa, yaani kutuhonga mshindwe, kubeba mimba na kuzaa hamuwezi,kupika, kufua, kudeki, kuosha vyombo, kulea watoto mnategea, kuwa waaminifu hamuwezi, sasa mnaweza nini nyie? Kazi yenu ni kugegeda tuuu? Msitulazimishe kuwakosea heshima! Msiweke sheria hizo bana, vitu vingine mnamezea!
 
Chanzo cha migogoro kwenye ndoa ni Pesa na Mapenzi
  1. Wanawake wengi wanapenda wapewe uhuru wa kufanya kazi. Lakini walio wengi wakishapata kipato wanakitumia kujipendezesha na kujijenga kwenye familia walikotokea - si walikoolewa.
  2. Wanawake wengi hawapendi kuchangia matumizi ya nyumbani - hata kama mapato yao ni makubwa kuliko ya mme. Wanapenda ile model ya mme kufadhili kila kitu, lakini hawapendi matokeo ya model hiyo - mme kuwa na maamuzi ya mwisho juu ya hatima ya familia
  3. Wanawake wengi wanapenda kushiriki na kufanya maamuzi juu ya kipato cha mme. Lakini hawapendi kabisa mme ajihusishe na mapato wanaopata wao - wanasema wakati unaoa ulijua kuwa utahimili familia.
  4. Wanawake wengi mwanzoni huwa wako flexible sana. Ila wanapokuwa kwenye ndoa wanashauriana sana na wenzao na hapo wengi hubadirika sana mbele - hasa naona mwanamke akishapata watoto wawili huwa ni turning point.

Mambo hayo husababisha migogoro sana kwenye ndoa nyingi.
 
Pole mkuu. Huyu mama amezidi mtoto wake wa kuzaa ashindwe kumlipia ada..tena kwa sababu mmewe amekwama, sasa anafanya kazi ya nini. Si aache kazi basi awe mama wa nyumbani.
 
Mnajulikana chako chako changu cha familia sio fair.

Ndio mana yake.
Wataka unizeeshe tu.
Pesa zangu ni za kununulia pochi,viatu,saloon na makorokocho mengine.
Yako ndio ya kulea familia.
 
...unaaibisha wanawake wenzako bana....
 
Wengi mkuu wameshapata shida kwa kujadili au kuulizia hela za wake zao! ni wanawake wachache wenye mioyo ya kuwashirikisha waume zao katika vipato vyao, na hiyo basi mpaka wao wapende wenyewe!! ndio hali halisi hata kama hatupendi hatuwezi kukwepa!!
 
...ur brainy women...hata kwenye majibu ya mke wa jama....inaonekana kuna shida....
 
...angebaki kwao basi...wanawake wa siku hizi mana matatizo gani...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…