Mie naona kafanya jambo jema sana.
Maana ninyi wanaume huwa hamuaminiki hata kidogo.
Pole sana ndugu!Haya ndiyo matatizo ya wanaume wa cku hizi wanaoa wanawake wenye kazi ili kupunguziwa majukumu yao! Aaaagh! Kwani kutuma pesa home ni tatizo? Labda kama hajakushriksha! Je,mlikubalianaje kuhusu matumizi yenu ya pesa?au umemkurupusha tu?afterall mwanaume ndiye mwenye jukumu la kutunza familia zakwangu nitatoa nikiamua tena penye ulazima eboo! usilalamike kakope! ndo uanaume huo!
Ujinga huu ndio unasababisha watu wengi wakishaoa wanawaachisha wake zao kazi! maana mwaka mzima yuko kazini lakini hakuna anachosaidia hapo nyumbani. si bora ashinde nyumbani tu! mkuu Edison hebu jipe muda kidogo utafakari kisha fanya maamuzi magumu, mrudishe mama nyumbani alee familia. hizo kazi zake hazisaidii familia yenu.
Hapo ana data zako pesa zako u.n.a.t.o.m.b.e.a ndo mana nayeye kaona ajipange kivyake jichunguze nduguMimi na wife tumebahatika kupata watoto 2 wa kiume! Mm nafanya kazi dsm yy anafanyia mara. kijana wetu yupo grade 1 kwenye hizi academy! Takriban wiki kadhaa nilienda kumsabahi! Nije kwenye pt niligundua amekuwa akiwatumia ndg zake pesa nyingi paspo kunijulisha nahc kuna business wanafanya yy na dadake! Niligundua baada ya kumwambia kwamba mm kulingana na ujio wangu siko fresh kiuchumi hivo jitahidi ada ya mtoto make ndo wanafungua mwezi wa tisa kwa kifupi alinipa majibu ya kunikatisha tamaa akadai hana hela na isitoshe kwenye ubini wa mtoto anaandikwa yy au mm? Km sitaki kumsomesha akae nyumbani! Nikamuuliza km waweza tumia ndg zako malaki ya pesa unashimdwa nn kumlipia mwanao? Akakanusha wakati mm nilicheki kwenye mpesa ametuma pesa two times tena last month! Tukazinguana sana mm nikapanda basi nikasepa kwa ufupi hana mpango wa kusaidiana na mm ktk kusukuma gurudumu! Nimfanyaje mke wa namna hii?
Huo ndio uhalisia, hata kama mkeo anakuzidi mshahara mara kumi, hizo ni hela zake wala hazisaidii ugumu wa maisha!! unatakiwa umchukulie kana kwamba haingizi kipato chochote, komaa ujenge familia yako, best wishes!! Sisi wengine kwa kukwepa ma-stress kama hayo tumejichukulia wanaojua kusoma na kuandika tu, sasa wapo nyumbani wanalea watoto katika misingi inayotakiwa....
Mimi na wife tumebahatika kupata watoto 2 wa kiume! Mm nafanya kazi dsm yy anafanyia mara. kijana wetu yupo grade 1 kwenye hizi academy! Takriban wiki kadhaa nilienda kumsabahi! Nije kwenye pt niligundua amekuwa akiwatumia ndg zake pesa nyingi paspo kunijulisha nahc kuna business wanafanya yy na dadake! Niligundua baada ya kumwambia kwamba mm kulingana na ujio wangu siko fresh kiuchumi hivo jitahidi ada ya mtoto make ndo wanafungua mwezi wa tisa kwa kifupi alinipa majibu ya kunikatisha tamaa akadai hana hela na isitoshe kwenye ubini wa mtoto anaandikwa yy au mm? Km sitaki kumsomesha akae nyumbani! Nikamuuliza km waweza tumia ndg zako malaki ya pesa unashimdwa nn kumlipia mwanao? Akakanusha wakati mm nilicheki kwenye mpesa ametuma pesa two times tena last month! Tukazinguana sana mm nikapanda basi nikasepa kwa ufupi hana mpango wa kusaidiana na mm ktk kusukuma gurudumu! Nimfanyaje mke wa namna hii?
Wewe kongosho acha zako mbona hili unalijua kabisa ndo liko hivyoooo mwanamke hawagi pilipili kihivyo bila logicUmejuaje kama ana.tom.bea? Sijaona popote kwenye maelezo yake akisema hilo.
Eti Edson, tuhuma hizi ni za kweli?
Mkeo anakosea sana kutuma pesa pasi kukushirikisha, manake ni jambo jema sana kushirikiana kwenye maisha. Edson mbona hili sio kosa la kutomuamini mkeo?? manake wewe kama baba wa familia swala la ada ya shule ulipaswa uwe umesha lifikiria kabla.
ingekuwa busara kama ungeweka ndani mwako utaratibu wa akaunti za watoto kwaajili ya ada na matumizi yao hili lingepunguza sana hizi karaha. nani atakuwa naweka pesa kwenye hii akaunti ni jukumu lako ila kama mkeo akiona ni busara basi ataweka na usifanye kwa kificho mwambie wazi kwamba unafungua hiyo akaunti.
siri ya pesa za mwanamke hivi jisemee moyoni mwako"" PESA YAKO MKE WANGU UKINIPA NITAPOKEA NA TENA NAITAMANI SANA ILA SIKUOMBI NG'OO""
hebu rudi kwanza kajifunze kuandika ndipo uje uonyeshe ujinga wangu.acheni ujinga, mke ma kila kitu alichonacho ni cha mine, ma mine halo kadhalika! Chochote apatacho mkeo LAZIMA akiweke kwenye kapu la familia ambalo lina mapato tote ya mine yamo! Mocha mnaanza kupanga kipi kianze na kipi kisubiri! Kama hawezi achana bar maana ni either yupo nawe au kinyume!