Blueprint 9
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 807
- 1,402
Hi great thinkers Leo nimeingia hotel Fulani kuna boy mmoja akataka kuniletea chai nikamsitisha nikaenda panga foleni mwenyewe watu walistajabu.Mmiliki wa mgahawa akaja kuniuliza kwanini nimekataa.Siku mjibu kwani nikitaa kuletewa chai au chakula nikatafuta mwenyewe kuna shida!
Hujaelewa[emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji482] [emoji482] pata hiyo ndo utaelewaNdio nini
Jamaa anataka hela yake uliyo mkopa pale gengeniBange mbaya sana
Shule zishafunga Mwalim upo town sasa...!!Hi great thinkers Leo nimeingia hotel Fulani kuna boy mmoja akataka kuniletea chai nikamsitisha nikaenda panga foleni mwenyewe watu walistajabu.Mmiliki wa mgahawa akaja kuniuliza kwanini nimekataa.Siku mjibu kwani nikitaa kuletewa chai au chakula nikatafuta mwenyewe kuna shida!
Akili yako unaijua mwenyeweNamaanisha sipendi kuagiza vitu hasa chakula nachukua mwenyewe
Hi great thinkers Leo nimeingia hotel Fulani kuna boy mmoja akataka kuniletea chai nikamsitisha nikaenda panga foleni mwenyewe watu walistajabu.Mmiliki wa mgahawa akaja kuniuliza kwanini nimekataa.Siku mjibu kwani nikitaa kuletewa chai au chakula nikatafuta mwenyewe kuna shida!
Uandishi anaujua mwenyewe, lakini anahofu na nguvu ya limbwata!Ndio nini