UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 567
Namaanisha sipendi kuagiza vitu hasa chakula nachukua mwenyewe???????
Usipende kuletewa kila kitu wewe shauri yako[emoji34][emoji3][emoji3][emoji3]ushaanza
Ukishaamka mtafute Mshana jr huenda atakusaidia maana ya ndoto hiyo.Hi great thinkers Leo nimeingia hotel Fulani kuna boy mmoja akataka kuniletea chai nikamsitisha nikaenda panga foleni mwenyewe watu walistajabu.Mmiliki wa mgahawa akaja kuniuliza kwanini nimekataa.Siku mjibu kwani nikitaa kuletewa chai au chakula nikatafuta mwenyewe kuna shida!
Wapi unpredictable in meals[emoji82]Wakati wenzako maofisini tunaletewa na wadada wa usafi
[emoji1] [emoji39] [emoji102]Unataka ujaze sahani tu maana umezoea lumbesa
Mi mshamba kweli IPO siku mshamba atatunukiwa[emoji102]Ushamba na urafi
Ndyo maana unaachika acha kugawa jichoMi mshamba kweli IPO siku mshamba atatunukiwa[emoji102]