Simu ndio kitunza siri kikubwa katika mapenzi
Inaficha au inatunza siri zipi?
Ni nini na wapi chimbuko la siri hizo?
Katika ulimwengu wa artifical intelligence hadi sasa hakuna kifaa chenye uwezo wa kuhifadhi matukio zaidi ya ubongo wa mwanadamu...

Hahaha. Mungu Ana akili Sana. Ungeweza kuusoma ubongo wa mpenzio sijui ungemcharanga? Day.
kwaresma hii Mungu atakase akili yangu
Don't tell me kuwa hata leo hutokunywa chai na vitafunwa vingine. Nimesoma ubongo wako
Hahahah!! King'asti hebu kutana na mind reader hapa