Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,073
- 43,522
- Thread starter
-
- #21
Alcatel wametutumia message kuwa tusiwe na hofu SIMU zetu zitawezeshwa kupokea hiyo update SIMU yangu ni Alcatel pop c9
nimecheki hii simu ina android 4.2, umeshapata kitkat? kama kitkat hauna basi sahau lolipop wanawapa moyo tu.
Nimeangalia maduka mawili ya mjini kati sijafanikiwa kuona hii simu na motorola nyingine mpya. Inaonekana kama watanzania wengi hawazijui sana, tofauti na brand za samsung, iphone na htc. Hata kupata simu kama lg g2 maduka ya kawaida ilikuwa shida sana. Ukipata taarifa tujulishane
Phantom Z inahusika hapa
sony wameonyesha ukomavu sana kwa ku update hadi simu za mwaka 2013
Kinachokera wanatucheleshea sana sisi wa ulimwengu wa tatu.sony wameonyesha ukomavu sana kwa ku update hadi simu za mwaka 2013
Hivi ni kwa nini hawa android partners wanakuwa wazito sana kuzipa midrange smartphone update wakati huwa zimakaribiana specs na high-end smartphone!!?
samsung haina haja ya kujitangaza wao kama ilivyokuwa ktk kitkat kuanzia s4 nadhani zitapata update hio
Nina samsung galaxy s4 verizon SCH I545 mpaka sasa haijapata hiyo update ya 4.4.2 kitkat
Inawezekana hata hii mpya nikaisikia tu, kila nikijaribu kuchungulia kama kuna update mpya nakutana na kitu kama hii;-
hilo ni tatizo la verizon samsung walishatoa update. carrier wa marekani huwa wana tabia za kublock updates hadi wazitest