Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,266
Hili halijashindikana. Ni suala la muda tu maana kwa sasa watengenezaji wa chaja na betri hawajafikia levo ya financial saturation. Au hajatokea mwendawazimu mmoja kwenye ushindani akaamua kufanya haya mapinduzi. Yataanzia China au Korea