Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,369
- 1,337
- Thread starter
- #21
kichwa cha habari umekion picha zaid njoo inbox mbon wenzio wanakuj wanajibiwa wanayotak kujuaMuuzaji jieleze vizuri hapa unatangaza biashara ya hela nyingi sio kama unauza bangi....
Picha zenyewe unatoa za kwenye mitandao, hujasema ni mpya au used.
Tukisema wewe ni tapeli tutakuwa tumekuonea.?