simu ambazo ni brand za kichina ni nzuri sana, mie nina infinix, camera yake kwanza ina 20mg, ikipiga mpaka unywele inatoa, ina camera bomba sana na iko fast sana, ukiwasha sekunde 5 tayari ishaaccumulate kila kitu kwenye desktop yakeNi Mwaka sasa natumia Xiaomi Mi Max Prime 4GB Ram 128GB Battery 4850. Ipo kama ilivyokuwa siku ya kwanza.Sijutii kuinunua
Hizi simu zinatumia MIUI OS,una maanisha nini hapo mkuu?dadavua plz
Ni sh ngapi ulinunua?Ni Mwaka sasa natumia Xiaomi Mi Max Prime 4GB Ram 128GB Battery 4850. Ipo kama ilivyokuwa siku ya kwanza.Sijutii kuinunua
$299.99Ni sh ngapi ulinunua?
China ROM ndo haina Play Store. Global ROM ina Play Store.Hizi simu zinatumia MIUI OS,
Hazina Play services /Google Play Store ila kuna jinsi ya kufanyia installation.
Mi nina s7 edge nawaza kimnunulia mama mtawala hii kitu vipi kwenye betri ipoje kudumu$299.99
Duka gani maana simu hizi kuzipata hapa bongo ishu kidogombona mm nishaziona madukani,labda tu hazijawa maarufu.
poa,nikinunua nitakutafuta mkuu.Hizi simu zinatumia MIUI OS,
Hazina Play services /Google Play Store ila kuna jinsi ya kufanyia installation.
Betri inadumu man, Wakati iPhone zipo less than 3000, na Samsung zinacheza kwenye 3000, Hii inagonga 4850. utatumia mpaka uchoke.Mi nina s7 edge nawaza kimnunulia mama mtawala hii kitu vipi kwenye betri ipoje kudumu
Hiyo betty 5000+ inauzwajeBetri inadumu man, Wakati iPhone zipo less than 3000, na Samsung zinacheza kwenye 3000, Hii inagonga 4850. utatumia mpaka uchoke.
Waweza Chukua Xiaomi Mi Max 2 ,bei ni cheaper kuliko hii Mi Max but battery ni 5300
Battery ni mwisho wa matatizo. Mimi naweza kuwa kati ya wanadamu wanaotumia simu muda wote toka naamka mpaka nalala. Lakini huwa nachaji usiku ninapolala.Natumia tangu 7am mpaka 2am bila kukoma.Mi nina s7 edge nawaza kimnunulia mama mtawala hii kitu vipi kwenye betri ipoje kudumu
Upo kama mimi aiseeBattery ni mwisho wa matatizo. Mimi naweza kuwa kati ya wanadamu wanaotumia simu muda wote toka naamka mpaka nalala. Lakini huwa nachaji usiku ninapolala.Natumia tangu 7am mpaka 2am bila kukoma.
Official Global ROM]Xiaomi Mi Max 2 6.44 Inch 5300mAh Smartphone FHD 4GB 64GB Snapdragon 625 Octa Core 12.0MP Cam Android 7.1 Metal Body QC3.0 IR Remote Control -Hiyo betty 5000+ inauzwaje
Kweli bei ndogo je kodi je?Official Global ROM]Xiaomi Mi Max 2 6.44 Inch 5300mAh Smartphone FHD 4GB 64GB Snapdragon 625 Octa Core 12.0MP Cam Android 7.1 Metal Body QC3.0 IR Remote Control -
Price:
USD[https://content1]
221.99
Ukinunua suruali ya kuvaa Nigeria utakuja lipia kodi?Kweli bei ndogo je kodi je?
Price:Official Global ROM]Xiaomi Mi Max 2 6.44 Inch 5300mAh Smartphone FHD 4GB 64GB Snapdragon 625 Octa Core 12.0MP Cam Android 7.1 Metal Body QC3.0 IR Remote Control -
Price:
USD[https://content1]
221.99
Inauzwa sh ngap kwa hapa bongo
Hakuna na ni free transportOk other charges kama nikiagiza kitoka nje