Black fire
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 755
- 1,323
NawasubiriNami nasikia aisee. Ngoja waje
Vipi kuhusu changamoto za spare?changamoto sijaonaga aisee ni simu rahisi sana kutumia na haina ma update ya kipuuz kama samsung
Chukua Simu ambayo ni "Global version" huwa tayari zimefanyiwa installation ya Google playstore.google maana haikua na google playstore
Ndo maana nikaomba waliowahi kuzitumia watupe uzoefu.Hahahahaaa nimewah kuiona xiami moja ila nikahis hawana uhusiano mzuri na google maana haikua na google playstore...sasa sielewi
Na ilikua ndogo tu ila inagraphics nzuri...camera kali ..sio nzito inshort ni nzuri ila playstore tulidownload
Upatikanaji wake ni mgumu kwa hapao TZ, huwa tunaziagiza, Kwa taratibu za manunuzi ingia kwenye huu uzi: www.bit.ly/101buy4meInauzwa sh ngap kwa hapa bongo
Ni Mwaka sasa natumia Xiaomi Mi Max Prime 4GB Ram 128GB Battery 4850. Ipo kama ilivyokuwa siku ya kwanza.Sijutii kuinunuaHabar wakuu.
Niende moja kwa moja kwenye mada. Nimekuwa nikiona nyuzi mbali humu jukwaani na kwa baadhi ya watu kuhusu hz simu za Xiaomi kwmb ni simu bora. Nataka kuagiza simu ya Xiaomi RedMi 4x. Naomba mwny uzoefu nazo aniambie. Nmekuwa nikisikia mazuri tu ya hizi simu naomba ambaye ashawahi kuzitumia anipe maelezo ya kutosha hasa changamoto za hizi simu ili nifanye maamuzi ya mwisho kabla sijaagiza.
Nitashukuru sana
Hii ni sh ngap mkuu?Ni Mwaka sasa natumia Xiaomi Mi Max Prime 4GB Ram 128GB Battery 4850. Ipo kama ilivyokuwa siku ya kwanza.Sijutii kuinunua
Hizi simu haiuzwi bongo. Zinaagizwa kutoka nje. Nasikia ni simu kali lakini bei zake ni cheeInauzwa sh ngap kwa hapa bongo
Niliipata kwa $299.99Hii ni sh ngap mkuu?
Kwahyo unashauri hii cm haifai?Chukua Simu ambayo ni "Global version" huwa wameweka Google playstore.
una maanisha nini hapo mkuu?dadavua plzChukua Simu ambayo ni "Global version" huwa wameweka Google playstore.
mbona mm nishaziona madukani,labda tu hazijawa maarufu.Hizi simu haiuzwi bongo. Zinaagizwa kutoka nje. Nasikia ni simu kali lakini bei zake ni chee
Mkuu mm nmeandaa bajeti ya $150 ndo maana nimechagua hyo xiaomi redmi 4xNiliipata kwa $299.99
Safi. Ziko vizuriMkuu mm nmeandaa bajeti ya $150 ndo maana nimechagua hyo xiaomi redmi 4x