Simu za TIGO huawei y330 na y530

Simu za TIGO huawei y330 na y530

oxlade

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
601
Reaction score
96
naona tigo wanaziuza hizi simu kwa bei nafuu sana, wadau naomba mshee ubora wake na kama mnashauri kuzinunua, binafsi nimeshawishika kununua y 530 ila sijui ubora na udhaifu wake, na je zinakidhi viwango vya simu za kisasa?
asanteni
 
Na y300 nayo ni shilingi ngapi na nn tafauti yake na y330 na y530
 
nisaidieni ku unlock huawei yangu y330 nitumie laini zote
 
tatizo kubwa la hizi cmu za huawei ni ram, yani ram ya 512mb ni ngumu sana kuoperate jellybean 4.3, ukifungua zaidi ya apps tatu cmu ina stuck,,, nadhani kwa sasa cmu nzuri ni za kuanzia atleast 1GB ram ndo zinakuwa poa!!

okey sasa inawezekana kuongeza RAM yake
 
tatizo kubwa la hizi cmu za huawei ni ram, yani ram ya 512mb ni ngumu sana kuoperate jellybean 4.3, ukifungua zaidi ya apps tatu cmu ina stuck,,, nadhani kwa sasa cmu nzuri ni za kuanzia atleast 1GB ram ndo zinakuwa poa!!
kwa simu ya bei rahisi ni ngumu kukosa mapungufu. nokia x2 na moto e zina 1gb ram ila nazo kuna maeneo zina weaknes
 
nisaidieni ku unlock huawei yangu y330 nitumie laini zote
Ghalama ya ku_unlock ni tsh 25'000 tu.
Unachotakiwa kufanya ni KUNIPA IMEI number ya LINE 1 baada ya kufanya malipo.
 
Mie Huawei siwapendei kwenye large bezels tu. Aaggh!
 
Ghalama ya ku_unlock ni tsh 25'000 tu.
Unachotakiwa kufanya ni KUNIPA IMEI number ya LINE 1 baada ya kufanya malipo.

Mkuu naomba na Mimi msaada kwenye Hili nahitaji ku unlock Huawei y530
 
Back
Top Bottom