Simu za TIGO huawei y330 na y530

Simu za TIGO huawei y330 na y530

Hivi hiyo nokia x2 inauzwa tsh ngapi?
Je ina support Jamii forum application kama ya os.?
 
tatizo kubwa la hizi cmu za huawei ni ram, yani ram ya 512mb ni ngumu sana kuoperate jellybean 4.3, ukifungua zaidi ya apps tatu cmu ina stuck,,, nadhani kwa sasa cmu nzuri ni za kuanzia atleast 1GB ram ndo zinakuwa poa!!

Sijui yako mie nimeitumia kurun hata app kumi and still haistuck. Na kama unapata tatizo la kustack ukifungua app nyingi kuna option ya kuua tasks ambazo hazitumiki hivyo kufree ram nyingi tu
 
kuna mtu anaweza kunisaidia Galaxy laucher ile ilio ndani ya Huawei Y330 Nimeipenda
 
kuna mtu anaweza kunisaidia Galaxy laucher ile ilio ndani ya Huawei Y330 Nimeipenda

sijaichunguza y330 ila kama ni ambayo imo ndani unaweza ichukua kutoka kwenye root/system/themes utaona mafaili yenye theme unaweza kuya extract ukamodify kisha ukayarepack

launcher zipo kwenye root/system/app
 
Kwani adw laucher ni Galaxy launcher.apk ilotumika kwenye huawei?
Nataka alie root ani saidie hiyo apk kutoka kwenye system files

njia ingine ni kudownload update.app ya y330 kisha extract utakuta kila kitu kuanzia recovery system boot na vinginevyo. we chagua system nayo extract
 
njia ingine ni kudownload update.app ya y330 kisha extract utakuta kila kitu kuanzia recovery system boot na vinginevyo. we chagua system nayo extract

basi fanya kama C6 alivyokuambiacdownload firmware yake extract ukipata system image extract utapata
 
Last edited by a moderator:
Jamani hebu naomba kujua hii njia ya ku-unlock simu hasa hizi za tigo huawei y300 haziwezi kuleta madhara kwenye simu?!
 
Cpendi huawei Y330 sim2 ni micro chip, pia iko secured kuiroot
 
Back
Top Bottom