Simu za TECNO

Simu za TECNO

Suip

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,374
Reaction score
848
Wana JF napenda kwa aliye na uzoefu wa simu hizi anifahamishe yenye speed ya kudownload,na ina internal memory ya +50MB
 
tatzo lnakuja kwenye uwezo wa simu!!!! Smu inatumia Gprs haiwez kumfikia mwenye 3g!!!! Ila tumiaga voda maana wapo stable kiasss
 
Me natumia Tecno T1 ina android. Internal memory ni almost 700MB na inaweza kuwekwa memory card ya Hadi GB 32. Ni cm nzuri sn. inaweza download movie yyt youtube, unaweza kuweka office writer, adobe reader, photoshop nk. Ngoja tucheki pia experience kwa wengine juu ya Tecno zilizo juu zaidi kama zipo
 
Masterproud hiyo TECNO T1 inapatikana kwa bei gani?.
 
Mi ninatumia tecno ila sijui model gan... Ina 40MB pia youtube na inadownload softwares kama kawaida. Halafu nlikanunua elfu 70 tu eti!.
 
inadownload software nakutazama video youtube?

hiyo tecno ni maneno mengine.ni new model imetoka this year inatumia os ya adroid gingerbread 2.3.5 aplication zote unazozihitaji inakubali unadowload kwenye google play ambayo tayari iko istalled kwenye hiyo cm.ina display ya 3.5. dowload spead7.2mps .unaweza kuitumia kama modem kwenye pc.ni ya ukweli kuliko hata sumsung galax mini pocket. bei yake inarange laki 1.5 mpaka na80.ijategemea sehemu uliyopo.mikoa migi wanaiza laki na 70 to 80.
 
Wana JF napenda kwa aliye na uzoefu wa simu hizi anifahamishe yenye speed ya kudownload,na ina internal memory ya +50MB

Ndogo sana jipange ununue simu inayoweza kubeba micro SD (memory card hata ya 2GB
 
Unaweza chukua T1 ama N3 ni nzuri sn. Kiukweli kuna mshkaji wangu ana Samsung galaxy S3 hana anachonizidi kabisa. Tunafananaa hadi Screen saver na wallpaper wakati yeye ya kwake amechukua kwa 900,000 me nilichukua kwa 200,000. Tecno ndio kimbilio lililobaki la wanyonge wanaotaka smart card za ukweli. Zenyewe zinasapoti hadi 32GB Memory card
 
nokia yangu ya e72 nimeiweka pembeni baada ya kununua hii cm.niliona inajadidiliwa hapa jf. nikasema hebu 4ma first time nikamate mchina.nikakamata n3.ni kitu cha ukweli.
 
tatzo lnakuja kwenye uwezo wa simu!!!! Smu inatumia Gprs haiwez kumfikia mwenye 3g!!!! Ila tumiaga voda maana wapo stable kiasss

mkuu tecno n3 na t1 ni 3g mkuu with dowmload speed ya 7mps. t66 ndio haina 3g
 
Na mambo ya screen resolution na camera vipo ok kweli?
 
Kweli ni nzuri sana maana nimeicheki kwa jamaa yangu bin zaharan nimetamani sana aliponimbia bei yake sikuamini ilivyo na uwezo mkubwa kiasi hicho.
 
Mimi pia natumia Tecno T1,nilinunua Tunduma 200000.Nimeikubali kwa kweli,ina support app nyingi sana na speed ya internet ni balaa.
 
Nafikia uamuzi wa kununua TECNO N3 je ina uwezo wa kutuma picha na video kwa Multimidea messaging(MMS)..
 
hiyo tecno ni maneno mengine.ni new model imetoka this year inatumia os ya adroid gingerbread 2.3.5 aplication zote unazozihitaji inakubali unadowload kwenye google play ambayo tayari iko istalled kwenye hiyo cm.ina display ya 3.5. dowload spead7.2mps .unaweza kuitumia kama modem kwenye pc.ni ya ukweli kuliko hata sumsung galax mini pocket. bei yake inarange laki 1.5 mpaka na80.ijategemea sehemu uliyopo.mikoa migi wanaiza laki na 70 to 80.
Nduu/Mamaya..hebu weka photo yake hapa maana naona hata mimi imenifanya nikaitafute hiyo simu..sijui kwa Moshi Mjini kama ntaweza kuipata hiyo simu..
 
T1 is avery good phone, ila shida kubwa ni moja, charging system inasumbua sana, yangu imeharibika mara mbili sasa nimeamua kuchajia kobe.
 
Thanks so much for the pre coutins..ngoja nijifikirie vizuri kwanza..!!
 
Back
Top Bottom