Wakuu hamjambo?
Mimi nilikuwa na kaswali kadogo tu je kwa wale mliowahi kutumia simu za mfumo wa Non-Removable battery zinapochoka bater huwa zinabadilishwaje?
Changamoto zake zikoje maana simu kama za samsung betri waweza badilisha muda wowote.
Mfano wa non removable ni. HTC ONE NA ASCEND P6
hizo simu battery zake zinaweza kubadlishwa! lakini mpaka battery ichoke hyo simu utakuwa umeshatumia miaka kadhaa na sidhani kama bado utakuwa unaihitaji, lakini ikibidi kubadlisha inawezekana, simu inafunguliwa na battery inabadilishwa!
Mkuu nilianza kuogopa kuzinunua.
ni simu nzuri na pia betry zake zipo za kubadilisha mfano ni iphone, htc zinabadilishwa ila jiandae bei za betri kwani zinaelekea kuwa nusu ya ile uliyonunulia siku!!! lakini mpaka zife kuna safari ndefu sana mie nina i phone ya miaka saba sasa bado kabisa betry yake.
Hazivimbi?
Hazivimbi?
ila kaka kabla hujanunua hizo simu za non removable inabidi uwe umeangalia score za hio simu kwenye ku repair.
simu nyengine ni karibia imposible kuchange chochote mfano htc one
Mkuu chief kwa hyo ikileta tatizo ni kutupa cm nzima?
ila kaka kabla hujanunua hizo simu za non removable inabidi uwe umeangalia score za hio simu kwenye ku repair.
simu nyengine ni karibia imposible kuchange chochote mfano htc one
Hivi simu za "non-removable battery" iki stuck au ku misbehave unafanyaje? Maana njia za kawaida ni kuizima na kuwasha, ikiendelea kusumbua untoa battery una replace mambo safi. Sasa hizi za non-removable yaani sipati picha.

Mimi natumia Xperia T, betri ni non removable,km ikistuck (haijawahi kunitokea) au nikitaka ku restart au ku force shut down, nina press power button+volume up button kwa secs kadhaa, inazima, na ukiendelea kubonyeza bila kuachia kwa secs kadhaa ina restart.
kwahiyo usiogope, zipo njia zake za ku restart inapozingua.