Simu za Nokia zinanivutia sana

Simu za Nokia zinanivutia sana

Kwa mm shughuli zangu nipo polini inanipa tabu maana unaiweka 3g inapandisha 2g yenyewe nikahisi simu yaangu ni ndogo nikachukua kubwa lakni kwenye kuchagua bend inakuchagulia yenyewe labda nikiingia mjini ambapo netwk inatulia sehemu moja na haya ili uyaone mpaka uje polini

kuna maeneo network hamna kabisa,usiilazimishe simu kukuonesha uongo.

hata mitandao ya simu hawawezi kuweka miundombinu kamili porini.
 
Sijaona moja.... Kuna ile yenye macho matatu kama IPhone 13 Pro max.
 
kuna maeneo network hamna kabisa,usiilazimishe simu kukuonesha uongo.

hata mitandao ya simu hawawezi kuweka miundombinu kamili porini.
Uko sawa lakini sina shaka na hilo ndo maana unakuta simu nyingine imepangiliwa kama hivi 2G ONLE
3G ONLE
2G/3G(auto)
Lakini nokia wameweka 2G na 3G hamna cha onle maana yake hata ukiselekt kwenye 3G itapandisha 2G kwa maa wametenganisha kuzuga maanake inakupeleka inavyotaka huwezi ipeleka unavyotaka ww hii nikkampuni kubwa hivi vitu ni muhimu mno
 
Kila siku watu wanaongelea simu kutoka brand hizi tu mara Samsung, iPhone, Xiaomi. Lakini wanaacha kuziongelea Nokia. Kuna baadhi ya simu za Nokia zinavutia
View attachment 2338502
Ninachopendea kwenye hizi simu ni kwamba hakuna bloatware halafu huwa zinapata regular security updates. Lazima nifanye mpango wa kununua hizi simu.

Kuna baadhi ya simu zao zimenivutia ndio maana naandika hivi, hebu ziangalieni hizi hapa
1. Nokia XR20 Rugged 5G phone
View attachment 2338512
2. Nokia 8.3 5G
View attachment 2338530
3. Nokia G50
View attachment 2338531
4. Nokia 5.3
View attachment 2338532
5. Nokia 5.4
View attachment 2338536
6. Nokia G21
View attachment 2338544
7. Nokia X20
View attachment 2338546
8. Nokia 3.4
View attachment 2338547
9. Nokia G11 plus
View attachment 2338563
10. Nokia G10
View attachment 2338564
Tena hiyo Nokia G10 ya 4GB RAM na 64GB ROM nimeiona inauzwa kwa Tsh 330,000/= tu Kariakoo, halafu ina fingerprint pembeni sio nyuma kama ilivyo kwa simu nyingi za laki 3, naona inamake sense kuliko Xiaomi Redmi 10A 3GB RAM + 64GB ROM ambayo inauzwa kwa bei hiyohiyo.

Naombeni ushauri kwa mtumiaji wa Nokia au mtu aliyewahi kutumia Nokia. Je, hizi simu ni nzuri au mnanishauri nisinunue?
Zipo vizuri.
 
Nilikuwa na nokia 208 ya Button picha zake ni quality kuliko smart nyingi za leo
 
Natumia G10 hii simu kwenye chaji ipo vizur kwenye Kila kitu ila shida Haina file manager Haina calculator mpaka ufanye update camera ni nzuri kiukweli ni nzuri sana hii sim
 
Download file manager + playstore, ni bure haina matangazo, nyepesi na nzuri kushinda file manager zinazokuja na simu.
 
Kila siku watu wanaongelea simu kutoka brand hizi tu mara Samsung, iPhone, Xiaomi. Lakini wanaacha kuziongelea Nokia. Kuna baadhi ya simu za Nokia zinavutia
View attachment 2338502
Ninachopendea kwenye hizi simu ni kwamba hakuna bloatware halafu huwa zinapata regular security updates. Lazima nifanye mpango wa kununua hizi simu.

Kuna baadhi ya simu zao zimenivutia ndio maana naandika hivi, hebu ziangalieni hizi hapa
1. Nokia XR20 Rugged 5G phone
View attachment 2338512
2. Nokia 8.3 5G
View attachment 2338530
3. Nokia G50
View attachment 2338531
4. Nokia 5.3
View attachment 2338532
5. Nokia 5.4
View attachment 2338536
6. Nokia G21
View attachment 2338544
7. Nokia X20
View attachment 2338546
8. Nokia 3.4
View attachment 2338547
9. Nokia G11 plus
View attachment 2338563
10. Nokia G10
View attachment 2338564
Tena hiyo Nokia G10 ya 4GB RAM na 64GB ROM nimeiona inauzwa kwa Tsh 330,000/= tu Kariakoo, halafu ina fingerprint pembeni sio nyuma kama ilivyo kwa simu nyingi za laki 3, naona inamake sense kuliko Xiaomi Redmi 10A 3GB RAM + 64GB ROM ambayo inauzwa kwa bei hiyohiyo.

Naombeni ushauri kwa mtumiaji wa Nokia au mtu aliyewahi kutumia Nokia. Je, hizi simu ni nzuri au mnanishauri nisinunue?
Ni simu nzuri Mimi natumia simu zote Nokia 7.1 na 6.2
 
Download file manager + playstore, ni bure haina matangazo, nyepesi na nzuri kushinda file manager zinazokuja na simu.
Nimejaribu kuchek naona zipo nyingi mkuu unaeza nisaidia muonekano wake
 
Kila siku watu wanaongelea simu kutoka brand hizi tu mara Samsung, iPhone, Xiaomi. Lakini wanaacha kuziongelea Nokia. Kuna baadhi ya simu za Nokia zinavutia
View attachment 2338502
Ninachopendea kwenye hizi simu ni kwamba hakuna bloatware halafu huwa zinapata regular security updates. Lazima nifanye mpango wa kununua hizi simu.

Kuna baadhi ya simu zao zimenivutia ndio maana naandika hivi, hebu ziangalieni hizi hapa
1. Nokia XR20 Rugged 5G phone
View attachment 2338512
2. Nokia 8.3 5G
View attachment 2338530
3. Nokia G50
View attachment 2338531
4. Nokia 5.3
View attachment 2338532
5. Nokia 5.4
View attachment 2338536
6. Nokia G21
View attachment 2338544
7. Nokia X20
View attachment 2338546
8. Nokia 3.4
View attachment 2338547
9. Nokia G11 plus
View attachment 2338563
10. Nokia G10
View attachment 2338564
Tena hiyo Nokia G10 ya 4GB RAM na 64GB ROM nimeiona inauzwa kwa Tsh 330,000/= tu Kariakoo, halafu ina fingerprint pembeni sio nyuma kama ilivyo kwa simu nyingi za laki 3, naona inamake sense kuliko Xiaomi Redmi 10A 3GB RAM + 64GB ROM ambayo inauzwa kwa bei hiyohiyo.

Naombeni ushauri kwa mtumiaji wa Nokia au mtu aliyewahi kutumia Nokia. Je, hizi simu ni nzuri au mnanishauri nisinunue?
Toka 2013 natumia smart za Nokia Hadi Sasa kabla nilikuwa natumia vitochi vyao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom