Simu za Nokia zinanivutia sana

Simu za Nokia zinanivutia sana

Ninayo Nokia G 10 inakaa na chaji siku mbili nafanya kila ya kazi lkn bado simu inakaa chaji vizuri sana...Mimi ni mdau wa Nokia Toka Nokia 1020,Nokia 830,Nokia Nokia 930 na SASA Nokia G 10 yaani Kwa kifupi haunitoi kwenye Nokia najua uzuri wa simu zao na camera zao ingawa sikuhizi technology ya pure View haipo kwenye Nokia za android
Unayo kwa muda gani?.
 
Wapi panafaa kufungua office ya ufundi simu na computer jijini mwanza kwa anayeanza tofauti na mjini
 
Wapi panafaa kufungua office ya ufundi simu na computer jijini mwanza kwa anayeanza tofauti na mjini
Popote tu mkuu, cha msingi tafuta eneo lililochangamka, ambapo kuna shughuli nyingi, utapata wateja wengi, na itakuwa rahisi kujenga jina.
 
Nokia ukijagua vzr zipo vzr. Kwa wale normal users tafuta zenye betri kuanzia 4500-5000MHA.

Android nyingi zinafanana. Enjoy what u believe.

Nimetua twl types ya smart Nokia brands.
 
Kila siku watu wanaongelea simu kutoka brand hizi tu mara Samsung, iPhone, Xiaomi. Lakini wanaacha kuziongelea Nokia. Kuna baadhi ya simu za Nokia zinavutia
View attachment 2338502
Ninachopendea kwenye hizi simu ni kwamba hakuna bloatware halafu huwa zinapata regular security updates. Lazima nifanye mpango wa kununua hizi simu.

Kuna baadhi ya simu zao zimenivutia ndio maana naandika hivi, hebu ziangalieni hizi hapa
1. Nokia XR20 Rugged 5G phone
View attachment 2338512
2. Nokia 8.3 5G
View attachment 2338530
3. Nokia G50
View attachment 2338531
4. Nokia 5.3
View attachment 2338532
5. Nokia 5.4
View attachment 2338536
6. Nokia G21
View attachment 2338544
7. Nokia X20
View attachment 2338546
8. Nokia 3.4
View attachment 2338547
9. Nokia G11 plus
View attachment 2338563
10. Nokia G10
View attachment 2338564
Tena hiyo Nokia G10 ya 4GB RAM na 64GB ROM nimeiona inauzwa kwa Tsh 330,000/= tu Kariakoo, halafu ina fingerprint pembeni sio nyuma kama ilivyo kwa simu nyingi za laki 3, naona inamake sense kuliko Xiaomi Redmi 10A 3GB RAM + 64GB ROM ambayo inauzwa kwa bei hiyohiyo.

Naombeni ushauri kwa mtumiaji wa Nokia au mtu aliyewahi kutumia Nokia. Je, hizi simu ni nzuri au mnanishauri nisinunue?
Ni simu nzuri sana nunua hutojutia.
 
Ninzuri ila wamesikosea kwenye mfumo wa kuchagua bend za netwk maana zina mfumo wa auto huwezi chsgua 3g onle wala wg onle
Hii ni Nokia X 10, unachagua manually na si automatic
Screenshot_20220929-234000.jpg
 
Kwa mm shughuli zangu nipo polini inanipa tabu maana unaiweka 3g inapandisha 2g yenyewe nikahisi simu yaangu ni ndogo nikachukua kubwa lakni kwenye kuchagua bend inakuchagulia yenyewe labda nikiingia mjini ambapo netwk inatulia sehemu moja na haya ili uyaone mpaka uje polini
 
Kamera ni nzuri ila imebyimwa frash ila nokia yya zamani ukupiiga picha usiku mfumo wa frash ulikua wa hatari yaani aukuumiza macho kwa aliepigwa
Screenshot_20221031-103547.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom