Simu za Nokia orginal mpya bei chee kabisa

Chaja zake sasa ikiharibika hiyo ya kujia...
 
Habari yako
Nokia ipi nzuri yenye laini mbili na bei ya chini zinaanzia bei gani
 
mlionunua simu kwangu basi muwe mnaleta mrejesho kwa huduma.ili wateja wengne waamini.
 
Habari yako
Nokia ipi nzuri yenye laini mbili na bei ya chini zinaanzia bei gani
Kaka ya laini mbili kwa sasa sina,ni mpaka order.ila cm zote za nokia nilizonazo nilizonazo ni orgnal single laini,karibu.ila ukihtaj double line nipe order.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…