Simu za Nokia orginal mpya bei chee kabisa

Fafanua alikutapeli namna gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
bro unataka nifafanue nini hapo yani huelewi tu? nshakwambia huyu mtu ni tapeli usije ukamtafuta ukajua kweli ana simu hzo simu hana kaa nae mbali, yani hapo ni kama nimekwambia usipite njia hii kuna bomu unaanza maswali tena linalipukaje, kaa nae mbali mi namuwinda siku nikimkamata namfira kwanza ndio mambo ya hela yafuate
 
Simu bado unauza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…