Simu za Nokia orginal mpya bei chee kabisa

Unatakiwa kuweka na bei chin
 

Umenikumbusha mbali saaana mikono ktk nokia
 
Mkuu Mimi Nakushukuru Kwa Kunipotezea Muda Wangu.
Hata mim kanipotezea sana muda, kila siku anadai "Leo ndo nasafiri kufata mzigo" yan safar daily mpak nimeamua kwenda kununua dukani tu mana ni mzinguaji kinyama txt zenyewe hajibu kutwa nzima
 


OMBI MOJA TU KWAKO, HIZI PICHA SIO ASILI - ZA SIMU ZENYEWE, HIZI NI ZA ONLINE, PIGA PICHA ZA SIMU ZENYEWE ZIWEKE HATA KITANDANI HALAFU UTUME TENA, NIPO VERY MUCH INTERESTED NA HIZO NOKIA ZA ZAMANI NA NITAZINUNUA. USIPOFANYA HIVYO NA WEWE UTAKUWA TAPELI TU.

 
Nahitaji simu hizi

Nokia e71
Nokia N72
Nokia Ngage
Nokia 3310

Hizi simu ndio nilianza nazo maisha nahitaji niwe nazo kama kumbukumbu je unazo?
 
Ulisema mzigo unao mkonon Leo unasema ulichelewa kutokana Na delay ya unapochukulia mzigo
.....Nimetosheka Sasa...All The Best
Jamaa anazngua sana, mi aliniambia mzigo anashushia DSM tukakubaliana kesho yake tukutane tufanye biashara. Kesho yake namtumia txt mpak inafika jioni hajajibu hata moja , badae anasema et mzigo upo moshi
yan jamaa anakera balaa,amenifanya na mimi nionekane muongo kwa mtu aliyeniagiza nimtafutie sim
 
Naomba kujua bei ya X2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…