simu za mkononi: kifo mkononi

minda

JF-Expert Member
Oct 2, 2009
1,068
65
Wakuu,
kwa mujibu wa utafiti uliofanywa hivi karibuni, simu za mkononi, almaarufu selula, ni vifo mkononi. Miongoni mwa athari zitakazofanya siraili aanze kukubipu wewe mtumiaji, ni matokeo ya mionzi yake kama anavyofafanua mwandishi;
  1. to damage DNA,
  2. break down the brain's defenses,
  3. reduce sperm count
  4. increasing memory loss,
  5. the risk of Alzheimer's disease,
  6. and even cancer.

Athari hizi hasa ni kwa ubongo wa watoto wadogo


Mwandishi akapendekeza namna ya kupunguza athari hizo:
• Buy a Low Radiation Cell Phone
• Use a Headset or Speaker
• Listen More Talk Less – More Radiation is Generated when Broadcasting
• Hold your cell phone away from your body when using (Headset, Speaker Phone) and when in storage – keep in a purse or away from you not in a pocket or next to you.
• Choose texting over talking when possible
• When signal reception is poor stay off the phone – more RF is needed in low signal areas
• Limit your Children’s exposure – young bodies absorb more radiation
• Skip Radiation Shields – these don’t work to protect you they actually cause your phone to emit more RF due to the low connection quality.



SOURCE: GUARDIAN ON SUNDAY ( gonga hapa )



mnasemaje wakuu?
 
Kuziita simu vifo mkononi is being excessively alarmist. Tuna matatizo mengi mno kiafya ambayo ni hatari zaidi sana kuliko hiyo radiation kidogo ya simu za mkononi.
 
Kuziita simu vifo mkononi is being excessively alarmist. Tuna matatizo mengi mno kiafya ambayo ni hatari zaidi sana kuliko hiyo radiation kidogo ya simu za mkononi.

Na vyakula tunavyokula mitaani navyo vinaharibu sana afya siyo siri rafiki yangu!
 
Bata ukimchunguza kamwe hutothubutu kumla.
Sisi Waafrika Mungu tu ndo anatulinda.
Lakini ukiangalia tunachokula, tunapolala, hewa tunayovuta ni risk tu.
 
Bata ukimchunguza kamwe hutothubutu kumla.
Sisi Waafrika Mungu tu ndo anatulinda.
Lakini ukiangalia tunachokula, tunapolala, hewa tunayovuta ni risk tu.



kwa hiyo suala la simu ni dogo sana ukilinganisha na maisha yetu waafrika hasa kusini mwa janwa la sahara?
 
does our serikali no that we dying for that case or not. or TCRA inachukua jukumu gani kuelimisha jamii inayoizunguka!!
 
does our serikali no that we dying for that case or not. or TCRA inachukua jukumu gani kuelimisha jamii inayoizunguka!!


sidhani. naona wenyewe wako bise na usajili na kufufuatilia baadhi ya vyombo vya habari.
kuna idara ya mionzi pia nadhani inahusika pia.
 
ukiongelea maswala ya afya tunamengi yanayosababisha madhara kuliko cm angalia mavyakula tunayokula yanatosha tu kuleta madhara yote hayo
 
Navofahamu mimi,nchi nyingi za Ulaya na Marekani zinajali sana afya ya watu wake,,lakini sijawahi sikia tamko rasmi kutoka vyombo husika vya serikali hizo kukataza matumizi ya simu!! Kwangu mimi ni kithibitisho simu hazina madhara makubwa,kama yapo ni kidogo sana. Tanzania haiwezi kuwa nchi ya kwanza duniani kui-alert dunia kuwa simu zina madhara na kuchukua hatua. Kiufupi mpaka sasa hakuna proof yeyote inayoonyesha kuwa simu zina madhara kama aliyoeleza mtoa mada, zilizopo ni speculations tu..which are not yet proved scientifically!!
 
Back
Top Bottom