Ilisolokobwe
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,865
- 833
wataalam naomba mnisaidie tunatambuaje simu fulani kuwa ipo kundi lipi.mara nyingi kuna ubishi kuwa kadri simu inavyokuwa na gharama kubwa basi inakuwa ktk group la high end. nawasilisha
wataalam naomba mnisaidie tunatambuaje simu fulani kuwa ipo kundi lipi.mara nyingi kuna ubishi kuwa kadri simu inavyokuwa na gharama kubwa basi inakuwa ktk group la high end. nawasilisha
gharama haimaanishi simu kuwa highend au lowend bali specs zake ndio zinafanya iwe hivyo kutokana na soko lipoje na pia specs moja tu haitoshi kuithibitisha simu iwe highend au low end. hivi ni baadhi ya vitu vya kuangalia.
display resolution
wvga 480x800 na kushuka ni low end
hd 720x1280 ni mid range
full hd/Qhd 1080x1920 ni high end
ila ukiangalia zipo simu kama lumia 820 japo ina wvga ila ni mid range.
processor
snapdragon 800/801/ highend
snapdragon 600/400/ mediatek lte version midrange
snaodragon 200 na mediatek zilizobakia low end
ram
2gb/3gb highend
1gb midrange
512mb low end
battery
2500mah+ highend
2000-2500mah midrange
chini ya 2000mah ni low end
simu inaweza kuwa na feature chache za category nyengine hio haiifany iwe category hio
shukrani chief nilikusubiri sana.vipi hawa tecno tuwaweke kundi gani kaka
chief-mkwawa nikuulize kitu hapo kutokana na maelezo uliyoyatoa..gharama haimaanishi simu kuwa highend au lowend bali specs zake ndio zinafanya iwe hivyo kutokana na soko lipoje na pia specs moja tu haitoshi kuithibitisha simu iwe highend au low end. hivi ni baadhi ya vitu vya kuangalia.
display resolution
wvga 480x800 na kushuka ni low end
hd 720x1280 ni mid range
full hd/Qhd 1080x1920 ni high end
ila ukiangalia zipo simu kama lumia 820 japo ina wvga ila ni mid range.
processor
snapdragon 800/801/ highend
snapdragon 600/400/ mediatek lte version midrange
snaodragon 200 na mediatek zilizobakia low end
ram
2gb/3gb highend
1gb midrange
512mb low end
battery
2500mah+ highend
2000-2500mah midrange
chini ya 2000mah ni low end
simu inaweza kuwa na feature chache za category nyengine hio haiifany iwe category hio
chief-mkwawa nikuulize kitu hapo kutokana na maelezo uliyoyatoa..
"Kwahiyo hamna iPhone ambayo ni Highend??"
Sent from my iPhone using JamiiForums
ndio maana nikasema usibase kwenye kitu fulani sababu iphone nazo zinaweza kuwa na ram na battery ndogo ila zina vitu ambavyo ni vya highend kama vile
1. Processor ya 64 bit ambayo inazipita flagship zote za android
2.responsive ya kioo ni kubwa japo ina kioo kidogo ila unafanya mambo kiurahisi. Mfano kutype kwenye iphone 5s ni rahisi kuliko baadhi ya simu zenye hadi 6 inch
3.premium material, simu ina glass na material ambayo yanapendezesha
4.universal band. Nenda nchi yoyote tumia gsm au cdma iwe ni 850, 1900, 1700, au 2100 iwe 2g, 3g au 4g bas itafanya kaz iphone, tofaut na simu kama tecno yenye band moja tu ya 2100 kwenye 3g.
hivyo ni vichache kaka nafkir unaweza kuona